vodacom neshno ya zamani jijini dar leo
Mdau ,
Leo Yanga africa wamegalagazwa bao 2-1 na Mtibwa Sukari, na kuwafanya mashabiki wake kuwa wanyonge sana. Redio mbao zinadadisha kwamba siku zahesabika kubaki jangwani kwa kocha wao profesa Kondic. Maana ni hatari bin balaa na bakora zinanukia huko mahali...
Leo Yanga africa wamegalagazwa bao 2-1 na Mtibwa Sukari, na kuwafanya mashabiki wake kuwa wanyonge sana. Redio mbao zinadadisha kwamba siku zahesabika kubaki jangwani kwa kocha wao profesa Kondic. Maana ni hatari bin balaa na bakora zinanukia huko mahali...
Hongereni Mtibwa kuchukua ngao ya hisani ya Vodacom.
Wako mdau
Edwin Mac Temba
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom



Pamoja na usajili wa mamilioni ya fedha ambazo viongozi hawazionei uchungu, ukichezwa mpira "halali" Tanzania matokeo yake yatashangaza watu wengi. Mechi hii ni moja ya michezo halali waliyocheza Yanga. Kwa taarifa matokeo yalikuwa 2-1.
ReplyDeleteAcha mbwembwe kaka michu, tunajua kama unatumia BlackBerry ® smartphone from Vodacom..si wamekupa ya kazi tu....wacha kujidai.....
ReplyDeleteDuuh black berry imechapia ni 2-1 sio 1-0 sijui haya matokeo umeyapata wapi? au ndio uyanga umekutawala
ReplyDeletemdau
kisiju pwani
these results(2-1), looks so familiar,mmhhh,I wonder where else have I seen them yesterday!!!!!
ReplyDeleteWewe mdau kijusi wa pwani, mbona unaongea ugali wa jana sana? hapo 1-0 imeandikwa sehemu gani na hiyo blackberry iliyochapia?
ReplyDeleteHey Misupu,
ReplyDeleteHebu wapatie hii website wanajumuia waone NIZA Halfan mechi yake ya kwanza video www.whitecapsFC.com wajionee wenyewe kijana wetu anafanya nini hapo CAnada
Wee anon 5 wacha kusoma habari vipolo ungekuwa msomaji mzuri wa blog hii ungeona black berry ilivyo chapia hii habari imelekebishwa ilipotoka kwa mara ya kwanza iliandikwa 1-0 hivi sasa imelekebishwa na wewe ndio umesoma yote kwasababu ya internet kwa jirani.
ReplyDeletemdau
kisiju pwani
Acha undanga wewe Kijusi, hamna habari kiporo hapo labda comment yako ndio kiporo.
ReplyDelete