Askofu Mteule wa Kanisa la Anglikana akitoa heshima zake za mwisho baada ya kuongoza ibada
sehemu ya waombolezaji
Watumishi wa Bwana wakiwa katika ibada ya kumuaga Mzee Mgwassa
John Lukuwi akisoma wasifu wa marehemu
Baadhi ya viongozi waliokuwepo msibani
Mjane wa Mzee Mgwassa akipewa mkono wa pole
David Mgwassa Jnr. na wanafamilia wengine katika huzuni kubwa
sehemu ya umati mkubwa ya waombolezaji
waombolezaji walikuwa wengi sana
foleni ya kwenda kutoa heshima za mwisho
waombolezaji toka kila nyanja ya maisha walikuwepo
sura za huzuni zilitanda
heshima za mwisho
JENEZA LENYE MWILI WA MZEE DAVID ELIAS MGWASA LIKITOLEWA NJE TAYARI KWA HESHIMA YA MWISHO NA HATIMAYEN KUAGWA KABLA YA KUSAFIRISHWA KUELEKEA MANDA KWA MAZISHI JIONI HII.
BWANA AMETOA,
BWANA AMETWAA
MOLA AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONI
AMINA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Upumzike kwa amani mzee Mgwassa.
    Mkuu wa Wilaya ya nani hii naomba kujua huyu mzee alikuwa nani katika nchi yetu maana nimeona umemtoa mara mbili hivyo naamini alifanya kitu kwa nchi yetu au alikuwa na umaarufu fulani je unaweza nifatia jibu hilo? nashukuru sana.Mdau wa mwisho wa reli.

    ReplyDelete
  2. Rest in Peace Mzee Mgwassa. Poleni wanafamilia. Namkumbuka sana mzee wetu.

    ReplyDelete
  3. Kaka Michu hebu tufahamishe huyu mzee alikuwa nani katika ktka nchi naona picha zake nyingi sana vile??? Tukumbushie sababu kuuliza si ujinga kwa kweli hatuwajui waheshimiwa wote. h

    ReplyDelete
  4. Huyu Mzee aliwahi kuwa mwalimu na akawafundisha akina Horace Kolimba.Kama unamkumbuka aliekuwa SG wa CCM halafu akasema CCM haina dira. Akaulizwa atoe ufafanuzi kama SIta alivyoulizwa juzi baada ya hapo akafa. Miaka ya 1972 Mzee Mgwasa mpaka ya 1980s alikuwa Mwalimu wa somo la Office Mnagement IDM Mzumbe. Baada ya hapo alikuwa Mkuu wa Chuo cha IFM kama sikosei halafu akawa Mkurugenzi wa Jiji la DSM and then I think he retired. Hao ni wazee wa zamani ambao walikuwa wanafahamu namna ya kuiendesha serikali kama bureaucracy. MHSRIP

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...