




Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Upumzike kwa amani mzee Mgwassa.
ReplyDeleteMkuu wa Wilaya ya nani hii naomba kujua huyu mzee alikuwa nani katika nchi yetu maana nimeona umemtoa mara mbili hivyo naamini alifanya kitu kwa nchi yetu au alikuwa na umaarufu fulani je unaweza nifatia jibu hilo? nashukuru sana.Mdau wa mwisho wa reli.
Rest in Peace Mzee Mgwassa. Poleni wanafamilia. Namkumbuka sana mzee wetu.
ReplyDeleteKaka Michu hebu tufahamishe huyu mzee alikuwa nani katika ktka nchi naona picha zake nyingi sana vile??? Tukumbushie sababu kuuliza si ujinga kwa kweli hatuwajui waheshimiwa wote. h
ReplyDeleteHuyu Mzee aliwahi kuwa mwalimu na akawafundisha akina Horace Kolimba.Kama unamkumbuka aliekuwa SG wa CCM halafu akasema CCM haina dira. Akaulizwa atoe ufafanuzi kama SIta alivyoulizwa juzi baada ya hapo akafa. Miaka ya 1972 Mzee Mgwasa mpaka ya 1980s alikuwa Mwalimu wa somo la Office Mnagement IDM Mzumbe. Baada ya hapo alikuwa Mkuu wa Chuo cha IFM kama sikosei halafu akawa Mkurugenzi wa Jiji la DSM and then I think he retired. Hao ni wazee wa zamani ambao walikuwa wanafahamu namna ya kuiendesha serikali kama bureaucracy. MHSRIP
ReplyDelete