Home
Unlabelled
niaje hii?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hiyo ni novel moja ya nguvu sana nimeisoma, yani ni nzuri sana ziko mfululizo nne, na hapa karibuni HBO wameitengenezea sinema na ikaaktiwa na mwanamuziki Jill Scott .Mwandishi Mmarekani mmoja aliishi Botswana au Namibia na hiyo novo ina setting ya huko south,ni nzuri sana, isomeni hiyo wapenzi wa vitabu mtaipenda, ila sijui kwa nini iko hapo labda hapo ni baa wataionyesha sinema yake.
ReplyDeleteHapo ndo maudhui ya marketing yanapomfikia mlengwa walinuia ku-catch your attention. Ni kama advertisement za sasatel kama unakumbuka zilikuwa na vibwagizo kama 'more sasa na less ...'
ReplyDeleteJill Scott haishi Botswana ila alikwenda kuact hiyo show ambayo inabase on one novel. Niliiangalia yote na inachekesha sana nadhani inaitwa Number one detective ...inahusu mwanamke alikua amerithi hela ya baba yake akafungua No.1 Ladies Detective Agency na inaelezea mambo mengi yanayoendelea huko nchini kwao kama yale yanayotokea africa yetu kila siku rushwa, kunyanyasa wanawake, etc etc...its a funny....Naona wameona imependwa hivyo wanandelea na second season....
ReplyDeleteKuongezea maelezo hapo juu, movie yake inaonyeshwa sana Mnet....inahusu mwanasheria wa kwanza wa kike Botswana, huyo kwenye bango ndio mwanasheria mwenyewe.
ReplyDeleteIla kiukweli kabisa sielewi mantiki ya kuweka hiyo kwenye bango. Sijui wanatangaza watu waiangalie hiyo movie Mnet ama wakasome kitabu..ama sijuii...inatatiza
nadhani maelezo yalioelezwa na wadaukuhusu hiyo film/ novel yanaeleweka! kama sijakosea nia ilikuwa ni kujua sbb ya hilo bango kuwa hapo, muhusika/ama mwenye kujua aeleze sbb ya kuwa hapo!! inaonyesha kiasi gani film hiyo imepata umaarufu mpk TZ ipo, nasi waTZ tujitahidi kujitangaza kwa wenzetu
ReplyDeleteaah asikudanganye mtu,hiyo ni kampuni ya kipepelezi ya akina mama wameianzisha,nia na madhumuni ni kuwasaidia akina mama wenye waume zao wakware waweze kukamatwa,naskia wana vitendea kazi ka vya wale watu wa CHEATERS kule states.
ReplyDeleteHiyo series naifuatilia sana... lakini ata mimi niliona hiyo bango hapo... (na haliko moja) nilishangaa kuliona kwasababu akuna ishara yoyote yakuonesha kuwa inatangaza nini? nikimaanisha kuwa akuna kuonesha kuwa labda dstv ndo wanaonesha hiyo series kwahiyo watu wafuatilie au kuwa ni channel ya nyumbani.... kwahiyo ikanifanya nijiulize maswali shungu mzima..... au labda au waweka mabango ndo wanaitangaza.... sijaelewa... maana liko peke yake...
ReplyDeleteni tamthilia ambayo kuna wakati ilikuwa ikionyeshwa na bbc kila jumapili jioni.
ReplyDeleteWe anony wa Sun Aug 23,08:57:00 am,take time to read and understand things[DumbAss],AMESEMA MWANDISHI WA KIMAREKANI ALIEWAHI KUISHI hizo nchi mbili za Sauzi,sio kwamba Jill Scott anaishi huko.Jill Scott is the one who potrayed the main character,sio tu unabwatuka eti Jill Scott haishi huko,hata mdogo wangu wa Manelumango High anajua hicho.don't rush to respond to things before you understand ze point,ni hayo tu.
ReplyDeleteHiyo ni movie,imetoka hivi karibuni tu ya jill scot ameiact akiwa botswana inaitwa samething is DICTACTIVE..wala sio novel.jaribuni kitafuta na kuinagalia kwa uzuri ni nzuri sana
ReplyDeleteHIYO NI SERIES INAYOITWA NUMBER ONE LADIES DETECTIVE AGENCY INATOKANA NA SERIES NOVEL ZINAZOHUSU BOTSWANA NA HUYO MPELELEZI MWANAMKE ZILIZOANDIKWA NA A. McCALL SMITH (ONE OF HIS BESTSELLERS). KWA SASA INAONYESHWA KWENYE DSTV CHANNEL 103 JUMAPILI SAA1 12 MPAKA SAA 2 JIONI NA KURUDIWA TUESDAY.... SO THE BANGO NI DSTV MARKETING YA HIYO SERIES ILI MUWEZE KUWASHA LUNINGA ZENU HALAU WAWAWEKEE MATANGAZO MENGINE YA PEPSI, SALAMA CONDOM NA KADHALIKA...YOU ATTRACT THE VIEWERS.
ReplyDeleteWACHEZA MOVIE BONGO MNAWEZA KUANGALIA NA KUIGA ILI VITABU KAMA VYA KINA ELVIS MUSIBA NA NDUNGURU VIFANYIWE SERIES NA KURUSHWA DUNIANI.
Hapo nahisi pamefunguliwa salon ya kike ya kutengeneza nywele kama za huyu hapo bangoni..
ReplyDeletekama mdau alivyo andika hapo juu, hiyo ni series ambayo inaoneshwa DStv kila jumatatu saa mbili usiku, iko bomba sana. ila communication iliyotumika hapo ipo katika mfumo wa sequence, kama utapita eneo lilipo bango hilo, kuna mabango mengine mawili ambayo inabidi yaendane ili ujumbe uupate vizuri, kwa kifupi bango lakwanza linasema "sometimes the best man for the job is a woman" lapili ndo hilo linasema "No 1 ladies dtective agency" na latatu linasema "mondays at 20h30 only on M-net, exclusive to DStv". kwahiyo ukiyaona yote matatu in a sequencey utapata maana kamili.
ReplyDelete