Home
Unlabelled
President Kikwete addresses the East African Legislative Assembly in Dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
leta hotuba siyo picha. aliongelea nini Jakaya? Utawala bora, udini, ukabila, umaskini, umimi/ubinafsi, ardhi, nishati, utajirisho wa vigogo, uhuru wa vyombo vya habari kufichua uovu na uozo serikali.... nini hasa aliongelea? Picha hazina kile alichokisema Jakaya ingawazinaweza kusema maneno elfu!
ReplyDeleteafrika ya mashariki bado tunaedekeza utumwa wa akili wa majaji na maspika kuvaa wigi ili iweje? hilo nalo linahitaji mshauri kutoka imf au world bank?
ReplyDeleteNaomba nikusahihishe anonymous was sat aug 08 6:09pm,majaji was Tanzania hawavai wigi huyo ni spika was Africa mashariki.Nawasilisha
ReplyDelete