Klabu ya Burudani ya RAINBOW SOCIAL CLUBb ya mbezi Beach kwa kushirikianan na CLUB SHANDY wameandaa bonanza la kusherehekea sikukuuu ya nane nane litakalofanyika katika Ukumbi wa Rainmbow siku ya jumapili tarehe 9 mwezi huu.
mratibu wa bonanza hilo athumani matigi amesema kuwa katika bonanza hilo michezo mblimbli itakuwepo ikiwa ni pamoja na michezo ya kuvuta kamba, kukimbiza kuku, mpira wa mikono, na mpira wa miguu sambamba na zawadio kemekem zitakazokuwa zikitolewa ikiwemo vinywaji vya aina mbalimbali "katika bonanza letu tutatoa VINYWAJI LAINI, na pia kutakuwa na michezo mbali mbali, sambamba na burudani zitakazo
TUMBUIZWA NA KIMONDO BEND (WAZEE WA KIBAJAJI)
BILA KUSAHAU KUKATA KIU NA KINYWAJI MALUUM AMBACHO NI CLUB SHANDY ,NA WINDHOEK LIGHT NAZAWADI NYINGI ZITAPEWANA"alisema Athumani lengo lingine ni kukutanisha wafanyakazi na watu mbalimbali na wote mnakaribishwa.
KARIBU SANA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...