Home
Unlabelled
shule ya msingi kilimani wapea madawati na vodacom leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mwamvita kaolewa?
ReplyDeleteAibu hii mpaka lini karne hii ya sayansi na teknolojia, hapo ni Dar je kule kijijini kwetu Gonja na Ndungu hali ikoje?? Mungu awape uzima walalahoi, na mkono wake uwaguse watawala wetu na mafisadi wao !!!
ReplyDeleteMichu mdogo wangu, umeweka kapuni comment zangu za hii habari...kumbe wewe sio ndugu yangu yangu unapendelea mahala fulani sio? Naelewa kwa nini umeffanya hivyo na siwezi kumwaga dagaa hapa
ReplyDelete1984 ulikuwa mwaka wa kwanza kwa wanafunzi shule ya msingi mazengo Dodoma kukaa chini, nilikuwa darasa la pili, mama wee, paka leo tatizo hili halijaisha Tanzania tunakazi kubwa
ReplyDeletehivi kodi wanazokatwa wafanyakazi kwenye mishara yao zinaenda wapi???karne hii watu wanakaa chini!!na hapo ni dar,halafu hao wabunge mishahara yao minene na kazi kulala bungeni,mungu awape uzima wadaganyika,PIGA ,UA,GALAGAZA,TIFUA hujanito ughaibuni,hiyo hali inatisha WAKE UP PIPO!!
ReplyDeleteWadogoza zangu poleni, hata sisi tulipitia hukohuko tena tulipewa form za kutembeza mchango wa madawati miaka ya 80 Tuliambiwa form irudi na Tsh.1500 asikuambie mtu mimi nilipataTsh200. nikaambulia fimbo3, darasa letu lilikuwa na madawati matatu tu kwa wale waliosoma Ubungo NHC na Karume primary chini ya mwl Mkuu mama Machano na waziri wetu Hayati Mayagila, Mliokuwepo mwalitambua hilo
ReplyDeletemimi nilisoma ashira pr school dawati moja wanafunzi watatu, nikahamia dar nikajikuta nakaribishwa pale Karume kwenye darasa lenye vumbi tele nikaka chini kwa upole masomo yakaendelea
ReplyDeleteMichuzi unaminya sana bwana mpaka nimekasirika,watu tunamaliza wino bure.
ReplyDeleteyale ma X5 ya nini ikulu kama watoto wanakaa chin shuleni,mh!nchi yetu kweli kichwa cha mwendawazimu usibanie hii nasema ukweli kaka.
ReplyDelete