Kocha Marcios Maximo akiwapa vijana moja mbili kabla ya kuanza mazoezi jana jioni. Hii itakuwa ni mechi yake ya 50 tangu aanze kuifundisha Taifa Stars...
Hoteli ambayo Taifa Stars imeweka kambi hapa Kigali.

Michuzi,
Taifa Stars iliwasili Rwanda salama bin salmin juzi na jana ilifanya mazoezi mepesi kujiandaa kwa mechi hii ya kirafiki. Taifa Stars imekuja ikiwa na ari ya mchezo ingawa itakuwa bila ya wachezaji wake watano; Nizar Khalfan, Calvaro, Henry Joseph ( ambao ndo kwanza wameanza soka la kulipwa) Mgosi ( anayeenda Norway) na Nsajigwa ( majeruhi).

Kocha Maximo anaamini hiki kitakuwa kipimo tosha kwa Tanzania ukizingatia Rwanda wanajiandaa kucheza na Misri kwenye kinyanganyiro cha kufuzu kombe la dunia na fainali za Africa hapa Rwanda wiki chache zijazo. Rwanda imeita nyota wake kadhaa kutoka ulaya akiwemo ‘’Shemeji’’ Katauti. Wadau wengi wamekuwa wakishauri Tanzania kucheza mechi za kujipima nje ya bongo, hili ni jibu zuri.

Mechi inatarajiwa kuanza saa tisa na nusu hapa Rwanda yaani kuni na nusu Bongo. Warwanda wameamua kutotumia uwanja wao mkuu badala yake watatumia uwanja wenye nyasi bandia. Huu ni mkakati kuhakikisha mafarao hawatoki kwani wao wamezoea kucheza kwenye nyasi halisi!.

Upande wa pili wa shilingi:
Rwanda ya leo si Rwanda ambayo wengi tunaifahamu!,
imepiga hatua kubwa MNO. Nikirudi bongo nitashare na blog hii pendwa
‘’ From Rwanda with lessons’’

Mdau IK
Rwanda

Tanzania 2-1 Rwanda: The Taifa Stars Humble Amavubi At Home

The loss disappoints Rwandans who were hoping for victory ahead of the crucial 2010 qualifiers against Egypt next month.

Rwanda's Amavubi Stars failed to impress once again as they were beaten 2-1 by Tanzania's Taifa Stars in an international friendly match played yesterday at Nyamirambo stadium in Kigali. Substitutes Rashid Gumbo and Jerson Tegete scored the goals on 59th and 70th minutes to hand the visitors a deserved victory.

After going behind, Rayon Sport midfielder Jamal Mwiseneza gave Rwanda hope with the equaliser on the 68th minute but that hopes lasted just two minutes as Tegete netted Tanzania's winner. Tanzania's two goals came as a result of a defensive mix-up by stand-in skipper Hamad Ndikumana and second half substitute Aloua Gaseruka.

Gumbo scored with his first touch after benefiting from Danny Mrwanda's cross, which passed between Ndikumana's legs while the second came in after Mrisho Ngassa chipped in a low cross from the right wing, which Gaseruka clumsily failed to clear giving an opportunity to Tegete to beat substitute goalkeeper Jean Claude Ndoli from close range.

Amavubi, who were under pressure to record a win following a five-match winless streak, were second best for most of the game, and when they got the chances to score, they wasted them, hence raising further doubt about their chances of getting a good result against Egypt in their 2010 World Cup qualifier next month.

The youthful Taifa Stars dominated Amavubi especially in the midfield department, which must have left their coach Marcio Maximo a very happy man.

Cyril Kauma and Jimmy Gatete were impressive in the first half and Gatete could have opened the scoring but his long range effort came off the crossbar. His other effort went just over the bar. Kauma was taken off in the second half and on came Andre Lomami to partner Gatete in attack, but the Atraco striker did little to stake his claim in the team that will face Egypt.

Gatete led the line quite well but lacked enough support from the midfield, which could not put together more than two good passes. As the match progressed, the crowd grew impatient and the players got even poorer.

Amavubi's first half central midfield pairing of Karim Thamba and Joseph Yao tried the best they could but Taifa Stars dominated. Mwiseneza substituted Yao and Gaseruka came in for the injured Thamba in the second half.

Defender Edwin Eric, who started the game at right back, played the entire second half in midfield, a position he looked more comfortable in than at right back.
Tucak Branko was using the game as part of the preparations for next month's 2010 World Cup/CAN qualifier against the African champions Egypt.

source http://www.goal.com/en/news/468/
internationals/2009/08/13/1438209

/tanzania-2-1-rwanda-the-taifa-stars-humble-amavubi-at-home

mdau Tendwa




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. MUNGU IBARIKI TAIFA STARS
    MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  2. naipenda nchi yangu naipenda Tanzania.
    MUNGU IBARIKI TAIFA STARS.
    KILA LA KHERI.

    ReplyDelete
  3. Mdau IK ni kweli Rwanda imepiga hatua, Hii yote ni sababu ya Rais wao Bwana Paul Kagame ana akili sana na anajali sana wananchi wake, na ana vision.
    wenzio wanakwambia hiyo itakuwa african development hub miaka michache ijayo wameshajiwekea malengo. wanataka iwe pia kama gateway ya afrika.
    Sasa ukija kwa Marais wetu sisi yani ni kichefuchefu, hawajui hata wanalolifanya ni nini.na MICHUZI ndo anashabikia tuendelee kuwa nchi ovyo kwani haruhusu mijadala endelevu kabsaaa. tutashukuru sana ukitulea picha tuone wanavyochanja mbuga wenzetu

    ReplyDelete
  4. duh wachezaji wetu woote vimiguu ka' spoku!!! vyembambaaaa.

    ReplyDelete
  5. bro misupu mambo vipi?Naona ni muda muafaka wa kutupa update za huko rwanda!

    ReplyDelete
  6. Mdau let photos kwa wingi. Nimekua namuandikia michuzi mara kwa mara alete picha za kigali labda viongozi wa jiji watajionea vitu wabadili mwenendo mzima wa jiji letu.
    Mimi nadhani waafrika tunaweza kama Obama anavyosema sema Tanzania, viongozi wetu hawana nia...
    Mbona Kagame ameweza sasa kuna madhani nzuri tu Kigali na ni safi kweli kweli.
    Amekata matumizi mabaya ya fedha ya serikali. Nadhani kwa Kikwete anaweza kuiga mfano mzuri kutoka kwa Kagame.
    Mdau..

    ReplyDelete
  7. Jamani,mwenye matokeo atupe updates.

    ReplyDelete
  8. Mungu ibariki taifa stars kwa kweli tunasikia raha sana kwa jitihada za timu yetu katika kutufikisha mbali na i hope siku moja tutafika panapotakiwa.....kwa upande wa nchi ya Rwanda aisee hawa jamaa wanajitahidi sana nchi yao bomba kinoma na wana mambo mengi ya kisasa kutushinda sisi ambao hatuna vita nimeona kwenye website 1 vifaa wanavyotumia kwa mfano magari au pikipiki za polisi ni aina ya Benz na BMW mpaka mzungu kaandika comment kujiuliza hapa ni kweli africa.??? maana hiyo mipikipiki ya polisi hata baadhi ya nchi za ugaibuni hawatumii....nenda yahoo click images andika tanzania polisi alafu utakutana na polisi wetu na wa rwanda na vifaa vyao...mdau uholanzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...