Kama kichwa cha habari kilivyo. WaTanzania tunaoishi huku Uk tumeingiza timu. Link ya maelezo kamili ya mashindano hayo ni
Tunaomba jamaa wanaoishi nje ya london wawasiliane na mimi kwenye 07846147128
naitwa SWEET. Ama seif kwenye simu namba
07944397242
kabla ya ijumaa.
Muda hatuna maana aliye-egister timu alipata udhuru. Shukran na samahani kwa usumbufu na hapi basdei.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hongereni sana haya ndio mambo ya kufanya kwa Watanzania.sio hao wanaokesha kwenye mikutano ya siasa READING badala ya kuitangaza Tanzania.
    Hongera balozi Mwanaidi Maajar kwa kuitangaza Tanzania.
    Hongera Abubakar Faraji kutuletea mambo haya.
    hapa ndipo mascout watawaona vijana wetu.

    ReplyDelete
  2. wale wanaojiita CCM wajitokeze kushangilia timu na kuisapoti kwa pesa sio maneno matupu.

    ReplyDelete
  3. KWELI CCM - UK IKO JUU, NIMEFUATILIA COMMENTS NYINGI SANA KUHUSU WATANZANIA UK KATIKA MITANDAO MBALIMBALI, HUWEZI KUPITA BILA KUONA COMMENTS ZA CCM - UK, KWA KWELI MMEPANDA CHART, SASA NAAMINI "BAD PUBLICITY SELLS"

    ReplyDelete
  4. Naanza na kukushukuru kaka yetu Issa Michuzi.
    Respond tuliyoipata ni nzuri nayakuridhisha..
    Asanteni sana kwa watu wote wanaoishi UK kwa kujaribu kusaidia hili jambo.
    Bado tunaitaji ushirikiano wenu wa aina yeyote.
    Sweety.

    ReplyDelete
  5. Siku zimekuwa chache kwasababu kama kawaida watanzania hatuna mipangilio.
    Mimi nikiwa kiongozi wa timu sijapokea ama atujapokea simu yoyote, ama msaada wa aina yoyote kutoka Abubakar Faraj wala balozi.
    Tunasema tena mpira si jukwaa la siasa kwa mtu kama Abubakar Faraj kujifagilia hali tulimtumia atutangazie kupitia tzuk na ameshindwa kulifanya jambo hili mpaka ndugu yetu Issa kutusaidia katika swala hilo. tunakushuru sana na hongera bwana michuzi.
    Hakuna chama cha siasa kulichosaidia kwa msaada wa aina yoyote.

    ReplyDelete
  6. WEWE ANONYMOUS WED AUG 12, 04:08:00 PM, WAKUSAIDIE NINI TENA UMESHASEMA "MPIRA SI JUKWAA LA SIASA"......"HAKUNA CHAMA CHA SIASA KILICHOSAIDIA KWA MSAADA WA AINA YOYOTE" UNAJICHANGANYA KWELI!!!!

    ReplyDelete
  7. WEWE ANONY.. Wed Aug 12, 04:43:00 PM, FIKRA ZAKO HUYO BWANA ANATAKA MSAADA KUTOKA KWENYE VYAMA VYENO? ANAJARIBU KUWEKA VITU SAWA, YA KUWA KWAMBA WACHENI UNAFIKI NA KUJIFAGILIA VITU HAMBAVYO HATA KUSHUGHULIKA HAMJASHUGHULIKA.
    WACHENI KUJIFAGILIA...
    UKWELI LAZMA USEMWE...

    ReplyDelete
  8. mimi ni kiongozi wa Timu KUNA mtu kaandika hapo juu kuwa Balozi na Abubakar Faraj hawajatoa ushirikiano sio kweli ni habari ya habari ya uzushi na majungu.

    tunamshukuru sana Balozi wetu na tunamshukuru sana Abuu Faraji kwa moyo na uzalendo wao kwa timu yetu.
    ni mimi Sweety.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...