Picha ya pamoja ya kikundi cha waandishi wa habari tisa wa Kitanzania kutoka vyombo mbalimbali vya habari waliorejea nchini hivi karibuni kutoka nchini Marekani walipokuwa wakishiriki programu maalumu ya mafunzo ya mwezi mmoja kwa ufadhili wa watu wa Marekani, wakiwa katika Ubalozi wa Marekani hivi karibuni. (Picha kwa hisani ya Ubalozi wa Marekani)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Trip za ufadhili wa Wamerakani huwa mbovu kabisa.

    Baada ya kula na kulala wanakupa dola 50 kwa wiki, wanafikiri unasoma primari.

    Kuliko kwenda Marekani kwa njia hiyo, afadhali kuandika project proposal TMF ukapata milioni mbili, then ukazamia vijijini kuandika habari za uchunguzi.
    Bongo inalipa zaidi.

    Deus Ngowi, Khalfan Said, Kivamo, Kamalando na wengineo ninawaona hapo kwenye picha maneno yangu kweli au uongo? Nawasilisha

    ReplyDelete
  2. wapiganaji?

    ReplyDelete
  3. kulia watu wawili wa kwanza...Simon Berege na Rachel Mariam..product ya tumaini iringa.BIG UP!LOL

    ReplyDelete
  4. yakhe mie ntaenda Arabuni ati, viksheni yote ntakuwa huko ati, mfungo ukiisha ati mie naja USA, naja kula mahanjumati. mfungo mwema.

    ReplyDelete
  5. Enyi wana habari wote bongo haswa wa IPP MEDIA,chonde chonde msituandikie habari wakati mkiwa na hang-over hatuwaelewi.INASIKITISHA IPP-MEDIA WANAVYOANDIKA USHUZI KUHUSU LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA ILIOANZA JUZI UTADHANI WAMETOKA WODI YA MATAAHIRA VILE,AZAM VS KAGERA WAMEANDIKA 2-2 WAKATI KAGERA WAMESHINDA 3-2.MORO VS TOTO WAMEANDIKA DRAW WAKATI MORO UTD WAMESHINDA,MSHAMBULIAJI WA AZAM WAMEANDIKA AMETOKEA BENCHI NA KUFUNGA MAGOLI MAWILI WAKATI AMEANZA NA KUMALIZA DAKIKA ZOTE 90.NA BAADHI YA MECHI WAMEVURUNDA SIKU AMBAYO ZINATAKIWA ZICHEZWE SIZO WALIZOZIANDIKA WAO WANAJIANDIKIA TU MADUDU YAO,MNATUKERA TUNAOFUATILIA HABARI ZA NYUMBANI KWA MTINDO WENU HUU

    ReplyDelete
  6. we anony Wed Aug 26, 03:20:00 PM kobe nini? hujuwi kama huu ni mwezi mtukufu wa ramadhani?

    ReplyDelete
  7. Anon wa Wed Aug 26, 03:20:00 PM uliyeandika habari za IPP media. Sidhani kwa mtindo huo hao tuwaite waandishi bali na wapishi wa habari za kiwongo wongo

    ReplyDelete
  8. JERRY MURO IKAWAJE SASA?

    ReplyDelete
  9. anon wa aug 26, 03:20:00 mbavu zangu zinauma nimecheka sana hii blog ukifungua ni lazima utacheka tu full kiburudisho

    ReplyDelete
  10. Aah Big Up Monica Luwondo!!! SAUT spirit is up right? Naona unawakilisha- vipi wall street wanasemaje? I'm so happy 4 u.

    Congrats Lady you are certainly going in da right direction-CV yako JK anapaswa aiangalie akupe post yenye kuleta mabadiliko katika jamii coz you have the potential nakufahamu. Wasalim ex-nyegezi wa miaka hiyo..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...