Diva loveness Love

I can't believe the season Two of Keeping Up with the Diva is here already!
It feels like the show just started! Time flies so fast! The season is pretty intense.
there is a lot of relationship drama in it this time via Clouds Fm Ala za Roho show witcha Diva Loveness Love..
Kuanzia nne kamili mpaka 6 kamili za usiku..
Everyday Jumatatu Mpaka Alhamis
www.diva255.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 52 mpaka sasa

  1. kazi nzuri sawa,ila jaman nahoji ndo nini kumnadi huyo b12-kwamba kila mtu ajue au unawatisha wanaomuwinda

    ReplyDelete
  2. What is the definition of a diva? and what are the criterias of one being categorised as a Diva? JUST ASKING!!!!!!

    ReplyDelete
  3. Yaap safi but huna sauti kama ya dinna marious sema una papara nyingi pia kwenye kipindi chako na vile una ropoka sana kwenye website yako una publish stupidit things ambavyo havina maana kwa jamii just showing off be like dinna or others like Dj fetty

    ReplyDelete
  4. mabinti wengi siku izi wanajiita DIVA..Diva is renowned woman singer, esp one who sings in operas o successful woman performer…diva wewe wa people’s station tuambie udiva wako wewe.
    Uchunguzi unaonesha wabongo wengi wamebobea kuanzisha blog, pale clouds karibu mabinti wote wana blog,They just express trivial issues..teknohama yaleta mambo

    ReplyDelete
  5. upo juu sana dad but punguza sifa kwa B12 tumeshajua kuwa ni wakwako sas maneno mengi ya nini dada.kweli inaonekana umekufa kwa B12 sio mbaya kwani mnapendeza ile mbaya,nawatakia kila HERI ktk love yenu maana mapenzi ya sasa hayapimiki hata kidogo.
    GOD bless u gil.....

    ReplyDelete
  6. I always fail to see ur actual face because most of ur pics umewekeka poz ambalo m2 hawezi kuona ur face but only side of it...anyway may be that is ur style lakini kipindi chako bopmba sana ila punguza makeke yasiyo na maana...sababu yakizidi unaboa

    ReplyDelete
  7. we binti hivi unawazazi kweli?unaweka vipicha vya uchi kwy blog yako alafu unatuambie tukuangalie,hii ni blog ya jamii haichagui wasomaji yako ni ya wahuni tuu kama mzazi wako anaanaglia blog yako na kukusifia kiukweli sitaki kumtuc ila atakuwa punguwani kidogo ata kama tunabadilika ila sio kihivyo,just take a look kwa mwenzio DJ Fetty,Dinna na wengine wengi hawana tabia kama yako michu next tym usimweka hapo!

    ReplyDelete
  8. sisemi kwa ubaya ila mtu akiwa anajisifa sana inaboa..kama sisi tunamjua michuzi wetu hatumjui mzazi wake nani au hata mkewe, haituhusu! sasa wewe kwenye blog kila kitu my dad dioniz malinzi malinzi oh kaninunulia perfume ya $150 etc..inaonyesha utoto sana, unaweza kuwa mdogo ila jua kwamba ukishaingia kwenye fani flani inabidi ukue mama..sawa?

    ReplyDelete
  9. Dj Fetty ni dj fetty,dinna ni dinna na mimi ni Mimi,dats y am Loveness Love na wao ni wao.
    wazazi ninao and they are very Proud of me ila wewe ndo unaonekana huna wazazi..
    Makeke ndio yanayofanya show iwe juu ni ubunifu tu and this time ndo ntazidisha sana.
    my website ina picha za uchi kweli??
    mbona ina vitu ambavyo viko katika jamii jamani acheni kujifanya hamvioni hivyo.
    b12 sina uhusiano nae hata robo wala sijawahi kuwa na uhusiano nae,hata kuwa na hisia nae sijawahi,hes my friend tena sio kiivyo ila we get along kama wafanyakazi wa sehemu moja.
    Let me say this to my People,mimi sio muongeaji wala nini,wala sio muhuni najiheshimu kweli kweli dats all i can say..
    ila inabidi muelewa show ina mlengwa na mlengwa wangu ndo yule unamsikia kijana,hamjawahi kuona kijana anavyoongea na wenzie jamani..they talk about sex wazi,wanapenda picha nude kama zilizo katika site yangu,then siwezi kuwa dinna au dj fetty..mee am jus me..doin what i think ni sawa kwangu,umri wangu ukisogea ntafanya yanayopaswa kufanywa but now nafanya ambavyo ni sawa ili mradi sivuki mipaka.
    Nyuma ya Pazia na nikizima Mike ya Clouds Fm.
    Siongei na Mtu than livin my life and minding my busnee..
    so msini judge pls and napenda wakaribisha katika season 2 ya Ala za roho and katika www.diva255.com mpate kifaacho..luv all of u kwa support na kuto support coz ni challenge tu hizo hazinifanyi nishindwe kufanya mengine now am stronger than ever no kulialia!!lol..kwani mnafikiri nikiwa naongea pale sijui kama ni ngumu najua na navaa uhusika hasa na kumlenga Mlengwa,kwa watu aged mnaona mh!!huyu mtoto hana wazazi lakini kama huwa mnanisikiliza vizuri huwa namfunza mlengwa wangu.
    Ajabu huwa naona kuitwa na Wabunge wananiambia good job your doing good,huwa nashangaa kusema ukweli..mtu akiniambia wewe mtoto huna wazazi nacheka tuu na kuona haelewi what am doing..na siwezi muelewesha sababu hataelewa na ataona najitetea tu ila its Part of the Job thats Y michuzi kaniweka hapo.anajua nafanya nini,thanks michuzi a lot be blcd.
    I see being a 'diva' as a positive thing! To me it means a strong, independent woman who knows what she wants and goes for it! I'ma, I'ma, a, diva!! Haha. .
    Mbarikiwe and Ramadhani Karim.luv all of you and byebye

    ReplyDelete
  10. kweli wewe bado ni mtoto ndomana unabishana michuzi usituwekee watoto wanaopenda malumbano hapa,kanumba kasemwa sana ata siku moja sijamuona kama amejibu ata mara moja ila huyu binti anataka umaarufu tu,wabunge wanakusifia si walewale penda totozz kua na akili mdogo wangui,jua wasifiwao ndo waumizwao!!
    fikiri kabla ya kuongea,nilidhani utakaa chini usome hizi comments the ufanyie kazi wewe unaanza mabishano?
    huyo b12 unamwandika sana hv hawa clouds mbona mnapenda sana kujulikana na kujiona mpo juu!!

    ila siwalaumu bado wadogo sana mkikua mtakua kama wakina Bonny love wanaojua nini wanafanya.

    ReplyDelete
  11. Ok wewe Diva nakupa big up but sometimes unaniboa watu wakiongea wewe kaa kimya sio kujibu katika net eti nitaongeza NOOOOOO! kwa kama EX President hakuwa anajibu kitu na ukiangalia watu walimkubali sana sasa wewe huo ni utoto acha kabisa unajua debe tupu...... sasa ya nini kwanza hao ni wabaya wako tena ingekuwa bora ungewasiliana na mimi nikupe ushauri Brother Issa Michuzi atakupa mail yangu kwani sio njema kuiweka hapa ktk blog nikupe majina ya watu wanaokupaka matope kwa mafanikio yako unaonekana una IQ kubwa sana please nahitaji kushea Ideas katika blog yako
    Asante mimi nipo USA

    ReplyDelete
  12. Binti hiyo web yako aina maadili hata kama una wazazi na wana kusifia,si kila usifiwapo usidhani umetenda jema wengine wana misifa ya kinafiki, je hizo picha zina mafunzo gani kwa vijana wenzio. mimi binafsi kama mzazi naona hazifai, badilika binti ujana uwa unapita na una mwisho. kwa majibu yako usijione mjuaji ila unaonyesha upeo wako huko wapi na ni mtu wa namna gani, kumbuka miaka ijayo nawe utakuwa mzazi ,je hiyo mipicha ndio utakuwa waonyesha watoto wako kama ndio kazi ambayo ulikuwa unafanya wakati wa ujana wako.

    Pole Binti

    ReplyDelete
  13. Yeah yeah yeah,blah blah,blah, unajiita diva coz hujui maana yake na to tell u the truth...U R NAT!

    ReplyDelete
  14. Huyu binti alishapewa ushauri mzuri na watu wanaoona mbele akaleta hizo hizo za kubisha lakini hajui hao wanaokukosoa ndo ulimwengu so fanyia kazi mapema ushauri wao kabla mambo hayajaharibika.Blog yako ni kimeo na hamna mtu mwenye akili anayeshabikia uvunjwaji wa maadili.Mwelimishe kijana kwa njia sahihi kama unadai ndo mlengwa wako sio kumuwekea picha za utupu,wasagaji,mashoga na kumjaza ujinga.Kama wadau walivyokueleza hapo juu siku moja u´ll look back on what you have done and u´ll realize what they meant.

    ReplyDelete
  15. Kwa nafasi yako do what will be better for your society.Hayo mambo ya usista-du koko ni kujilostisha wewe pamoja na hao wanaokusikiliza.Ushafikiria? Michuzi usibane ni kwa faida ya wadogo zetu.

    ReplyDelete
  16. Mimi kama nasikiliza hiyo redio yao clouds fm ikifika tu sa ya huyo binti natoa kipindi hakina maadili ya kitanzania kabisa jifunze dada kwenye hizo comments hapo juu ni za msingi waliosema hapo wana elimu za kutosha na exposure pia achana na hao wanaokujaza ujinga ukisema wabunge ni wa aina gani

    ReplyDelete
  17. Huyu demu anaandika pumba tupu, yaani hata haeleweki anajaribu kusema kitu gani, mimi simjui na wala sijawahi kumsikia lakini kutokana na maandishi yake tu inaonekana upeo waku ni mdogo sana na imenipa picha kuwa ni mtu wa aina gani.

    ReplyDelete
  18. kumradhi, huyu binti ni mtoto wa dionis malinzi kabisa au ndio walewale wa c/o, mjomba, nk? manake ananishocha na hizo my dad, my dad, my dad ... mbona hajiamini kama watoto wengine waliolelewa na baba zao?

    ReplyDelete
  19. Daah! dadaangu unachonga sana unapoteza mvuto,unakuwa kama yule Mange kimambi, nae sijui kaishia wapi na blogu yake??!!!.Mimi wala sijawahi kukusikia wala sijui hicho kipindi,ila nimekufaham kidogo ulivyojieleza hapo juu.Sikiliza ushauri wa waliokuzidi utakusaidia kwenye maisha haya ya NUKSI za kumwagilika,usijitie ujuaji sana,ni hayo tu dadaangu.

    Mpiga chabo mzoefu Michuzi Blogu

    ReplyDelete
  20. Daah! dadaangu unachonga sana unapoteza mvuto,unakuwa kama yule Mange kimambi, nae sijui kaishia wapi na blogu yake??!!!.Mimi wala sijawahi kukusikia wala sijui hicho kipindi,ila nimekufaham kidogo ulivyojieleza hapo juu.Sikiliza ushauri wa waliokuzidi utakusaidia kwenye maisha haya ya NUKSI za kumwagilika,usijitie ujuaji sana,ni hayo tu dadaangu.

    Mpiga chabo mzoefu Michuzi Blogu

    ReplyDelete
  21. mna yenu hamna lolote,kachonga nini,mtu kawaambia karibuni katika kipindi chake,mnaanza kuongea pumba kumsema kakosa nini,times fm pia kuna kipindi ovyo ovyo mbona hamsemi,twajipa raha babu kama hamtaki kusikiliza kipindi mtajiju,watanzania bwana always watu wa kuponda,watu wa clouds watu wa clouds,upeo wake mdogo angeajiriwa ,muwe mna fikira na masimabgo hayasaidii,mlimsema amina chifupasana tu alipokufa ndo ooh masikini amina na huyo binti inaelekea labda ana damu ya amina chifupa sijui,kuchukiwa sana na kupendwa sana,
    badala ya kumpa support mna kaa kumkatisha tamaa au mnataka watoto wenu nao wawe kama yeye ndo mfurahi.
    acheni ushamba,hebu kumbuka angalieni show za nje watu wanavyofanya mbona hamsemi,big brother hamuioni au ni nini hasa ,maana naona mna maswaga yasiyo na mpango,acheni upuuzi kama haelimishi jamii fungulieni wako radio bwana sio mnachongachonga pumba tu,siajabu hawa wanaosema ni wa hukohuko ofisini kwao maana nasikia pale majungu tu hamna chochote,dogo kaja kabeba jina fasta wanakaa ku comment ujinga,watu wanakaa kusubiria show huku kwetu ma a town halafu mnasema nini.
    diva wee kamua achana nao hawa haters tu,hamna lakusema,
    huyo dina ndo blog yake ya kuelimisha jamii machachandu ya nguoni tu,leo tena hamuisikilizi nini nyinyi mbona hamsemi kitu.
    achani swaga zakijinga.
    Mrutu a town

    ReplyDelete
  22. your a diva halafu naku feel mbaya sister sauti safi duuuuuuuuuuuuu
    ramadhani haiishi tu tukapate radha za roho.
    huku ma dom ndo watu wana ku feel ile mwake.kaza buti divaaaaaaa

    ReplyDelete
  23. kama humjui una comment nini sasa,piga kimya acha sisi tu comment tunaomjua,kwanza mwana ukom poa inshort wabaya wako mdogo wangu wako ofisini mwako mwenyewe.
    kama tuzo ikitoka kwa kuongozwa kupendwa wewe utapata maana ndani ya miezi michache ushawashika watu,hao wakina fetty hawajaanza leo wako wapi?kimya
    sasa usife moyo na maneno ya watu wachache,wewe mzuri na una vutia na kiukweli unapendwa mbayaaaaaaaaaaaa..
    kuna siku dingi mwenyewe kaniambia weka clouds mwanangu tumsikilize diva..sasa hao wajingawajinga wasiojua ukali wako hewani ndo tupa kuleee.
    matusi yapo kitandani na sio redioni,msikilizeni misana wa times radio yule ndio anatukana mbayaa,huyu mnamuonea na mmejaa wivu tu
    sio ishu wala nini

    ReplyDelete
  24. tatizo diva anaishi marekani Tanzania.
    Tanzania kuna wazaramu ndo hao wachonga midomo kama kasuku yao yanawashinda.
    kumnanga mwana wa mwenzenu kisa hakijulikani,babu weeeeeeee mtoto mzuri,sauti nzuri,atoke na b12 na nani yahusu??????????mnakuwa ka bwanchuchu achungulia huku loooooooooooo,hori a bibi twakupenda mwenzetu..achana na makinda ya mbuzi hawana jipya yao malapa ya chooni yasiojua safishwa.twasubiri hicho kipindi kwa hamu,misura mibovu kama maji ya chooni

    ReplyDelete
  25. Anonymous has left a new comment on your post "ALA ZA ROHO SEASON 2..":

    diva endeleza libeneke kuna watu wanajifanya walokole lakini si lolote kama huyo anonymous hapendi site yako anafata nini huku kila siku si aende kwa kina fetty na dina kila siku au ana wivu ndo mana anasema hivo eti watu wafupi wana mambo nakwambia wee annymous nyoko diva255 is ma baby analeta kitu tofauti ndio tunachangangamka kisawa mi ndio anonymous wa ukweli ambaye nimpenda diva kwa ingawa amenimbia yeye si rahisi kiivo.lakini sijakarika.hebu kumbuka wakati wa radio moja tz radio tulikuwa wapi sasa tuna radio bwerere cheki nhi ilivobadilika lakini hilo kuma hapo juu linaleta za kuleta kwani vichupi ndo ni ni kama wewe sio wakuja ni nini halafu we ni mgoloko na mkuda. diva4life ongeza moto chochea moto mwagia petroli utaona mapinduzi yanavopamba moto

    ReplyDelete
  26. Ndio matatizo ya kusoma hivi vishule vya mitaani ambavyo havina hata mitaala ya maana eti kisa ni english medium. Matokeo yake mtu anamaliza shule lakini bado ni mbumbumbu bin zumbukuku akiwa na upeo wa panzi na kuishia kuandika pumba za kumwaga kama huyu anayejiita Diva.

    ReplyDelete
  27. Nafuatilia sana kwa karibu utangazaji wako,approach yako kwenye issues,n.k...nakukubali sana...wewe ni wa aina yako,una uwezo mzuri,ni mkweli wa nafsi yako,na una ushawishi mkubwa!.....mshukuru mungu kwa hilo! changamoto uliyonayo kwa siku za usoni ni namna ya kukabiliana na mitazamo,maoni,attitude na kila aina ya hila za wanadamu hususani wabongo wenzio!....mtihani mkubwa sana...Waone dada wako wakubwa akina Lady jay Dee,Gardner,Salama Jabir na wengine wengi ambao wamepitia kwenye tanuru la moto kabla hawajawa celebrities.Nyoyo zao zimejaa hekima na uzoefu wa ulimwengu wa sasa.Niliona wakati flan ulisusa kupost mamboz kwenye mtandao wako kwa sababu nzuri tu lakini maamuzi yako yalituuumiza wengi kwani ulituonjesha kipaji chako cha kutufanya mtu mzima kama mimi (49 years) kusononeka....Nafurahi kuona umerudi ulingoni.Karibu sana binti

    ReplyDelete
  28. michuzi niambie eti huyu binti mwanao kweli au maringo yake ya dady dady....,anajifanya hajui picha alizoweka katika blog yake,kiukweli ni chafu mno..halafu kwani akisifiwa na wabunge anadhani ndo anafanya vizuri,wabunge wenyewe ndo hao hao mafataki ......

    kuna siku aliniacha hoi eti anazungumzia kula soseji,na mambo mengine kwakweli ammbayo hayana maadili yana aibu mbele ya wakubwa...walahi nilikuwa mbele ya wazee wangu nikaona noma sana...

    ReplyDelete
  29. No you ain't diva or none u just full of them

    ReplyDelete
  30. michuzi ujue ukibania comments unampa mchangiaji picha zima la mchezo lilivyo na ww umecheza part gani MWISHO!!!NADHANI UMEELEWA

    ReplyDelete
  31. WE BINTI COMMENTS ZINAZOKUSUPPORT UMEANDIKA MWENYEWE HILO LINAONEKANA WAZI KWA JINSI MTIRIRIKO NA AINA YA UANDISHI ILIVYOFANANA.MUHIMU NI KUFANYIA KAZI ULICHOSHAURIWA. KUJINDANGANYA KWA KUJIANDIKIA COMMENTS NI UTOTO TU.HUNA SUPPORT HAPA HILI NI JUKWAA KUBWA LA WATU WALIO NA UPEO WA JUU,HIVYO JITAHIDI KUFANYIA KAZI USHAURI MANAKE HATA RAIS WA NCHI ANASHAURIWA SEMBUSE WEWE AMBAYE SI WENGINE NDO KWANZA TWAKUONA.

    ReplyDelete
  32. Kwa jinsi nilivyosoma comments za wadau na kupitia blog yako sidhani kama kuna haja ya kuwalaumu Watanzania eti wanachonga sana nadhani wamekushauri vizuri tu.Wanayosema yana ukweli fulani.
    Mama Isma, Canada

    ReplyDelete
  33. Huyu demu, she's just bunch of bull man sasa nini kujiandikia comments every 30 seconds, mara oh mdau yuko a town, mara ooh dodoma. Mimi sina uhakika na umri wala elimu yako but one thing for sure wewe u think you're all that nakumbe ni utoto tu unakusumbua.According to you unasema diva is an independent woman mbona unajichanganya kama wewe ni independent why you're too much of your daddy cause after every two words ooh my daddy bought me this and that so what?? hata hujui what independent woman is all about. Mimi nakushauri woman up and take one day at a time na ujuwe uko africa so hizo nyodo zako is unnecessary na ujuwe kwamba wewe you can get fired from your job anytime and somebody else will take that job and do it well even for less so keep you're head up, pia elewa ukiwekwa kwa michuzi blog is not necessary that wewe ni babu kubwa,michuzi habagui ila ni mtambo tabia atachia watu wakurekebishe ili next time ufikiri mara mbili before you act. Na kitu kingine juu ya comments zako unaonekana huna ushirikiano mzuri na co-workers wenzako maana umeonyesha chuki to several people, Personally ndo nimekusikia leo na hata baba ako simjui na hainisaidii nikimjua so u better watch you moves and hold your tongue woman.
    -Mdau Virginia Beach

    ReplyDelete
  34. Nilikuwa sijacheka siku nyingi. Whatever, but you have to earn being a Diva like Asha rose migiro, bi kidude, those I would call divas.

    ReplyDelete
  35. diva bongo?? bado sana naona anatafuta umaarufu kwa nguvu ujulikane kama marehemu amina huwezi kuwa hivyo kamwe hata ujiite beyonce no no no noooo fanya mambo kawaida watu wakupe credit sio diva diva sijaona dado ati diva ha ha haaaa
    mdau safarini canada

    ReplyDelete
  36. seriously, huyu dada labda alivyoona Shairose Banji kaweka picha yake kwenye blog ya michuzi then aliona alipe mapigo.
    Anasifia wabunge, si awafuate huko dodoma kwenye blog si mahala pake.
    If wabunge So what????. Maybe tupate majina ya hao wabunge, ili wakitokea kwenye kampeni labda tuwaulize wanapenda nini from the DIVA, before we give them our votes in 2010. Dont make people more annoyed with your TECHNICAL KNOW WHO.
    waswahili tunasema KUBALI YAISHE, AND I AM NOT SO SURE OF THE DIVA THING.

    ReplyDelete
  37. St. Kanumba + TV / Movies, Now internet.. B%^%&! The real Divas behave... HAYA.... go brush your teeth. LOLLLL!!! Dont ask me how i knew you havent ;-)

    ReplyDelete
  38. Wait a minute, hivi radio siku hizi kuna seasons? what is it supposed to mean? mimi nasikiliza syndicate radios and there is no such a thing "season" it doesn't make any sense kama wewe show yako iko 365 days na unaita season may be i've been away from Bongo for too long and i need some assistance to comprehend this stuff.
    Kuhusu kusifiwa na wabunge just be careful about it wengine wana motives zao, mfano usifiwe na yule mmbunge anayetoka kanda ya ziwa kinachofuatia ni kuchumbiwa tu nakuachwa kwenye mataa.

    ReplyDelete
  39. kwanza nampongeza huyo binti,kwa umri wake ni wazi anafanya mambo makubwa sana,watu wachache wasije wakakufanya ukawa muoga wa kuendelea na unachokifanya
    Kumbuka unasikika na wengi na wanakubali kazi yako,your courages na hongera kwa hilo
    good job-well done-achana nao hawa watu wanaokaa na kutuma mijadala,ni mtu mmoja au wawili watakkuwa kila saa wanatuma kukufanya ujisikie vibaya,pull up your socks endeleza libeneke

    ReplyDelete
  40. Kaka Michuzi next time usiweke tena habari kama hii it's really boaring, Diva diva my dady my dady or B12 what are those stuff, mbona wenzenu Radio One hatuwasikii wanaelezea personal life

    ReplyDelete
  41. Michuzi baba mwezi mtukufu huu. Mbona umeruhusu matusi tena jamanii??? huyo anonymous wa sep 16;08:27 kweli uliiangalia comment yake kabla hujairuhusu?

    ReplyDelete
  42. zaynab mayulaSeptember 18, 2009

    anaetuma comments sio mtu mmoja kwa kweli huyu dada hajui hasa maana ya blog nafikiri ni full kuandika utumbo akishauriwa anakuja juu na kujibishana na comments za watu sasa huu si ujinga ooh mara natamani kuwa na mtoto half cast yaan kwa zile comments zilifata najua ni yeye ndio anaandika kujisifia hebu iga blog za wenzio kina zeze lady jady dina dj fetty zipo juu kwa kweli unatakiwa ukue kimawazo unabore

    ReplyDelete
  43. achaeni kumwonea wivu dada wa wa2. hivi nyie wabongo mbona kwenu kila kitu ni kibaya? kama vp acheni jusikiliza kipindi chake kwani mmelazimishwa? loveness love ww ni diva wa ukweli ndio maana watu wametenga muda wao na kuandika maoni ya Kipuuzi. kama ni ushauri atapata toka kwa wazazi wake siyo nyie wendawazimu ambapo kwenu hamuishi kutoa wa2 kasoro. ELIMU NAYO INA MANUFAA YAKE...NENDENI SHULE JAMANI COZ ELIMU HAINA MWISHO. DIVA USIKATISHWE TAMAA NA WENDAWAZIMU WACHACHE. MCHANA WATASEMA UCKU WATASKIZA KIPINDI CHAKO! HAHA KAZ KWELI KWELI!!!

    ReplyDelete
  44. Shamim mzuri haringi yupo juu lakin kwenye blog yake huwezi kuta ujinga na hawezi kujibishana na comments hata siku moja akiona zina mbore ananyamaza kimya Iga mama kwa wenzio upate kupanda chat sio kutumia majina tofautitofauti kujifagilia maana hamna mtu anaependa kuona zile picha za uchafu halafu afurahie

    ReplyDelete
  45. Kwani huyu binti anatoka kanda gani?....wale wale wa kujisifu(wahay...)...eti baba kanipa dola 150 kwa ajili ya kununua pwerfume!! so what..that is urs we dont need to know...mwisho utaanza kutuambia na rangi za underwear zako na bei zake...grow up lady..redio zinasikilizwa na watu wengi sana lakini baadhi ya redio (vipindi)zinachefua unakuta watangazaji wantukanana hata akijamba anasema!!! childish..acheni ulimbuken...nina wasi na wamiliki wa baadhi ya redio please take time to know the course of ur radio isionekane ya kihuni huni tu...mbona kuna watangazaji wametulia na wanachambua mabo kisomi na wanakubalika...big up to Gerald Hando, G habash,PJ, babra hassan and others of the like....I always make ma day for listening them everymorning on ma way to work....so girl grow up and stop acting like a spoilt child.....TAKE THIS "NEVER CHANGE YOUR ORIGINALITY FOR THE SAKE OF OTHERS....BECAUSE NO ONE CAN PLAY YOUR ROLE BETTER THAN YOU...SO BE YOPURSELF".....unfortunately u r not youself ur acting too much!!

    ReplyDelete
  46. huna lolote shukuru clouds ndo inakufanya japo usikike wewe ndo unajishebedulia hapo ili uwe maarufu we fanya kazi kwa bidii tu tutakuona halafu punguza temper sio kuja juu kama cobra kwenye blog huwa kuna comment nzuri na zenye maudhi sasa usitake kila siku usifiwe tuu lazima ukosolewe kwani we nani??
    bi chau

    ReplyDelete
  47. DJ Fetty,Dinna si lolote kwa diva endeleza libeneke kuna watu wanajifanya walokole lakini si lolote.
    msimjudge pls and napenda wakaribisha katika season 2 ya Ala za roho and katika www.diva255.com mpate kifaacho..luv all of u kwa support na kuto support coz ni challenge tu hizo hazinifanyi nishindwe kufanya mengine now am stronger than ever no kulialia!!lol..kwani mnafikiri nikiwa naongea pale sijui kama ni ngumu najua na navaa uhusika hasa na kumlenga Mlengwa,kwa watu aged mnaona mh!!huyu mtoto hana wazazi lakini kama huwa mnanisikiliza vizuri huwa namfunza mlengwa wangu.
    Ajabu huwa naona kuitwa na Wabunge wananiambia good job your doing good,huwa nashangaa kusema

    ReplyDelete
  48. Kweli nasikitika mtoto anapozaliwa,
    Anakuja pata tabu za duniani,
    Njaa nyingi magonjwa mengi
    Surua, kuhara, homakali eeeeaaahh ohoooo eeeeiih eeeahhhh!!!

    ReplyDelete
  49. Cant say a word with this issue...Yeye kawakaribisha watu wapya wamsikilize kwenye season yake mpya ya Ala za Roho sasa inakuaje tena mnaanza kuponda?Im not tryn to kumdefend but honestly sijaona kama right kwa wale waliomsema vibaya..
    TO YOU DIVA...Please kwanini unakuwa na muda wa kuwajibu watu?hapo ndipo una-entertain malumbano zaidi,unajiamini so do yo thing....
    Thats It...

    ReplyDelete
  50. jamani acheni sana kumponda dinner,she is right,anachangamsha sana,kipindi chake ni kizuri nakipenda sana,pamoja na kwamba anajishebedua na kuwacheka watu lakini kwa namna nyingine anafichua mambo ambayo ni vioja vinafanywa mitaa mingine huwez jua,huwa wanafuatilia na wanajua yalikotoka,kifupi mimi ananifurahisha na kila sicku ni lazima nisikilize kipindi chake,anaongea sana ila huwa yana maana,ila aache kujiita diva tafadhali.

    ReplyDelete
  51. loveness love. nakufagilia sana. keep it up

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...