jengo la kenya commercial bank mitaa ya livingstone na uhuru street
akiba commercial bank karibu na shule ya uhuru wasichana
international commercial bank mtaa wa uhuru na masasi
bango la boa bank mtaa wa uhuru street




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. BOA mtaa wa uhuru street? kwani mtaa sio street? kwi kwi kwiiiii

    ReplyDelete
  2. Laaaah uswazi lakini majambazi wataziaja kweli hizi benki hapo meseheni zinasukwa vizuri na majambazi itakuja kua kama benki ya temeke, mungu anusuru watu kama hawa hawataki Bongo iendelee kabisa.

    ReplyDelete
  3. Ingwa Umekanumbalize Mtaa na Street ant way kaka Michu ndo maendeleo hayo nadhani kila wilay ingejitosheleza kila Idara,Mabenk,Masoko,Hospital nadhani watu wa Gogolamboto wasingekuja kariakoo kununua vitu,Mbagala,Kivukoni,Mwenge Etc Etc,Kusingekuwa na Traffic jam muda wote

    ReplyDelete
  4. Safi sana hii mkuu. Lakini umesahau benki ya BOA iliyoko Tandika sokoni na zile za Mbagala pale kizuiani. Zimekaa utamu ile mbaya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...