Home
Unlabelled
bongo tambarare, benki hadi uswazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
BOA mtaa wa uhuru street? kwani mtaa sio street? kwi kwi kwiiiii
ReplyDeleteLaaaah uswazi lakini majambazi wataziaja kweli hizi benki hapo meseheni zinasukwa vizuri na majambazi itakuja kua kama benki ya temeke, mungu anusuru watu kama hawa hawataki Bongo iendelee kabisa.
ReplyDeleteIngwa Umekanumbalize Mtaa na Street ant way kaka Michu ndo maendeleo hayo nadhani kila wilay ingejitosheleza kila Idara,Mabenk,Masoko,Hospital nadhani watu wa Gogolamboto wasingekuja kariakoo kununua vitu,Mbagala,Kivukoni,Mwenge Etc Etc,Kusingekuwa na Traffic jam muda wote
ReplyDeleteSafi sana hii mkuu. Lakini umesahau benki ya BOA iliyoko Tandika sokoni na zile za Mbagala pale kizuiani. Zimekaa utamu ile mbaya
ReplyDelete