kwenye hafla moja siku za nyuma jijini dar
HABARI ZIMEINGIA SASA HIVI ZINASEMA MOHAMED MPAKANJIA, ALIYEKUWA MUME WA MAREHEMU AMINA CHIFUPA, AMEFARIKI DUNIA MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA LUGALO ALIKOKUWA ANAPATIWA MATIBABU, DURU ZA KARIBU NA MAREHEMU ZIMETHIBITISHA.
KWA SASA GLOBU YA JAMII INAWEZA KUTOA TAARIFA HIYO TU,
ZINGINE ZITAFUATIA BAADA YA KUHAKIKIWA.
Inalilahi Waina Ilahi Rajioon...RIP Medy
ReplyDeleteI nna lillah wainna ilaii rajiun hakika yetu ni wenye kurejea kwa mola si cha kumlaumu mola hapana ila kachukuwa kile alichokitoa poleni sana wafiwa bibi pole sana hapo sandali. ngatunga
ReplyDeleteWa Inna Lillah Ilahi Rajoon....May Your Soul Rest in Eternal Peace Medy
ReplyDeleteRIP Medy. So Sady yaani yeye na x-wife wmeenda so young. Poleni sana ndugu jamaa ma marafiki.
ReplyDeletepoor Rahman...May his Soul Rest In Peace Bro!!!
ReplyDeleteINALILAHI WAINA ILAHI RAJIOON.
ReplyDeleteMUNGU AMLAZE PEPA PEPONI.
AMIN.
Inalilahi Waina ilahi Rajinoon!
ReplyDeleteMwenyezi mungu akupumzishe mahala pema peponi...Meddy Mpakanjia.
Poleni ndugu na jamaa wa marehemu.
Kutoka
The Ngoma Africa Band aka FFU
akapumzike kwa amani... mwenyezi mungu humuita kila mtu kwa nafasi yake. wote tu njia moja.
ReplyDeleteI pray for his children.
RIP meddy
Apumzike kwa AMANI...
ReplyDeleteR.I.P
ReplyDeleteBwana alitoa na bwana ametwaa, Jina la bwana libarikiwe. Amina
ReplyDeleteR.I.P. friend.
ReplyDeleteMed, REST IN PEACE
ReplyDeletePoleni Sana tena sana, Familia ya kina Mpakanjia.
ReplyDeletetuko pamoja katika kipindi hiki kigumu sana.
Sikujua Kama Itakuwa Hivi.
= = =
Buffalo (R.I.P.),
New York
mhh namuonea huruma tu son wao...mungu amtie nguvu za kukabiliana na kutokuwa na wazazi,ss wapenda udaku ndo watatajirikia hapa kwa mara nyingine maana watafukua vya ukweli na uongo hadi vya uvunguni...
ReplyDeleteinlilah waina ilaihi rajiuni!!
ReplyDeletehakika ametangulia tunafuata
so sad,poor rahmaninyo
ReplyDeletemulimuandama sana baba wa watu kwa personal issues,haya sasa semeni mengine
R.I.P
ReplyDeleteMedy . Hakika sisi kwake ni marejeo. yeye ametangulia na sisi tunafuatia . utakumbukwa kwa mengi hasa majirani zako wa K/nyama Quba, mola awape moyo wa subira familia ya marehemu hasa mtoto
wake Abdulrahman(Abdulramadhino).
Katika kipindi hiki kigumu.
mdau Leicester Uk.
Mungu Mkubwa..hili fumbo la mauti kwa kweli ndo analowapiga bao hao wanaojifanya wanaweza kila kitu duniani zaidi yake..
ReplyDeleteR.I.P MEDI
"Atakalo Mola"
R.I.P! Inasikitisha sana maana wameacha mtoto mdogo.
ReplyDeletebehind the sin??? or behind the scene??? mm andikeni kiswahili.
ReplyDeleteRIP Medy
Wote tu njia moja.
ReplyDeleteR.I.P Meddy.
Mkulima-kijijini Gezaulole.
R.I.P medy namuomba Rahman mwenyezi mungu ampe nguvu ni mdogo sana kuondokewa na wazazi wote wawili lakini mungu ndiye ajuaye, poleni sana familia ya Mpakanjia
ReplyDeletePoleni wafiwa na inasikitisha mtoto wao mdogo kubaki bila wazazi, inatufundisha binadamu kuwa tayari muda wote. Je wewe umejitayarishaje?
ReplyDeleteR.I.P Mohamed. Kila mmoja wetu tupo njia hiyo wote. Haijalishi ni vipi lakini ukweli ni kwamba mauti wote tutaonja. Mungu uipe familia yake nguvu ya kupita katika wakati huu mgumu.
ReplyDeleteR.I.P Aisee poleni sana ndugu zangu japo tupo mbali lkn kimaombolezo tupo pamoja Abdul Mpanganjia.titi Mpakanjia.Chilly Mpakanjia.swaumu Mpakanjia na Nassor Mpakanjia mtunzeni mtoto wenu Rahman kwani huo ni mzigo wenu.
ReplyDeleteMdau
Kisiju Pwani
R.I.P
ReplyDeletePoleni sana wafiwa Mungu awape nguvu katika kipindi hichi kigumu, Wanadamu tukumbuke sisi sote tu mavumbi na tutarudi mavumbini jina la bwana liidimiwe.Amina
ReplyDeleteRIP, brother...Mnyaazi MUNGU aendelee kuwafariji wafiwa katika kipindi hichi cha msiba.sasa kaka MICHUZI tupe more details kuhusu mambo ya msiba yanavyoenda.Thanx
ReplyDeleteMdau-UKEREWE
RIP, brother...Mnyaazi MUNGU aendelee kuwafariji wafiwa katika kipindi hichi cha msiba.sasa kaka MICHUZI tupe more details kuhusu mambo ya msiba yanavyoenda.Thanx
ReplyDeleteMdau-UKEREWE
bwana alitoa na bwana ametwaa!jina lake lihimidiwe milele kwani ndie ajuae siri ya kifo.amen.
ReplyDeletemichuzi umeondoa comments ambazo zilishawekwa, at least ungechuja zinazofuata sio zilizokwishatolewa, au uliacha kichafua hewa ukalala bila kukizima.
ReplyDeletePolei sana ndugu na jamaa wa Muddy,Mola awape subira woote,Pia poleni sana madada mliotembea na muheshimiwa,safari inawakaribia..King A from Arusha
ReplyDeletebinadamu wnashangaza sana huyu kidume hivi anajua kwamba sote tutakufa na kifo kinakupata popote wkati wowote munggu ndio ajuaye.unapowasema hao madada inaonyesha kiasi gani ulivyokuwa hufikirii mbali,kesho mama yako akifa ni kwamba ametembea na meddy?fikiria mara mbili kabla hujaropoka.
ReplyDelete