
Vodacom Tanzania leo imezindua promosheni mpya kwa wateja wake waliopo Zanzibar. Sasa wateja wa Vodacom waliopo Zanzibar (yaani Unguja & Pemba) wanaweza kupiga simu zote za Vodacom kwenda Vodacom na kuongea kwa kiwanga kidogo kabisa cha NUSU SHILINGI tu kwa sekunde (Bila Kodi – VAT & Excise) saa 24 kila siku!!
Does it have anything to do with strengthening muungano?
ReplyDelete