wajukuu wa marehemu mzee aloyce hoka, askari polisi mwandamizi mstaafu aliyefariki ghafla jana usiku kwa shinikizo la damu, wakiwa na picha na msalaba wa babu yao nyumbani kwake mbezi beach jijini dar kabla ya kuelekea mazishini
Inspekta Jenerali wa Polisi afande Saidi Mwema (wa sitav toka kulia) akiwa na Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai afande Manumba (wa tano toka kulia) na maafisa wengine waandamizi wa jeshi la polisi wakisaidia kupokea jeneza lenye mwili wa marejemu mzee Hoka ulipoletwa nyumbani kwake leo
Afande Mohamed Chicco akiwa na ndugu wa karibu wa marehemu wakipanga mipango






Ulale salama Mzee Hoka... may god rest your soul... A life long family friend, you'll never be forgotten - Deo, UK
ReplyDeleteN.B. Iggi na Tofa, poleni sana n please keep in touch brothers!!!
R.I.P Mzee!
ReplyDeletepoleni sana jamani wakina devota. mungu awatangulie katika yote tuko pamoja nanyi. Minnesota
ReplyDeletePoleni wafiwalakini Kaka michuzi baba Mkwe wa zamani au?
ReplyDeletewe anony Tue Sep 15, 10:57:00 AM, huyu ndio kati ya baba mkwe halali wa michuzi. waliofuatia wote ni fotokopi tu!
ReplyDeleteSamahani kwa kutoa maoni haya hapa. Afande Chicco tuliokuwa vijana enzi za Kamanyola na Mzee Makassi Bwalo la Polisi Oyster Bay tumeshangaa kumuona Afande. Miaka ya 70 Afande Chicco alitupa kazi pale bwalo alipokuwa Meneja. Mzee Kiki, Mzee Makassy na Remii mupoo?
ReplyDeleteDeo Hoka pole sana nakukumbuka tulikuwa wote Itaga pole sana
ReplyDeletePoleni sana jamani wakina da Marsha, Deo, Devo, grace, Tofa, fortu,Iggi, Mode na wote wafiwa. Mungu amlaze pema mzee Hoka, Amina.
ReplyDeleteNeema Mayeng, U.S.
Love and Miss you guys alot. My prayers with your family. Be strong and Keep the Faith.
ReplyDeleteNeema M, U.S.