wajukuu wa marehemu mzee aloyce hoka, askari polisi mwandamizi mstaafu aliyefariki ghafla jana usiku kwa shinikizo la damu, wakiwa na picha na msalaba wa babu yao nyumbani kwake mbezi beach jijini dar kabla ya kuelekea mazishini
Inspekta Jenerali wa Polisi afande Saidi Mwema (wa sitav toka kulia) akiwa na Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai afande Manumba (wa tano toka kulia) na maafisa wengine waandamizi wa jeshi la polisi wakisaidia kupokea jeneza lenye mwili wa marejemu mzee Hoka ulipoletwa nyumbani kwake leo
Afande Mohamed Chicco akiwa na ndugu wa karibu wa marehemu wakipanga mipango
mtoto mkubwa wa marehemu, deo, akipewa mkono wa pole na afande Saidi Mwema

waombolezaji kanisani
mjane wa marehemu (shoto) na dada yake na watoto na ndugu kanisani
mabosi wa Kunduchi Beach hotel, alikokuwa anafanya kazi mzee Hoka kama mkuu wan ulinzi na usalama, wakiwa msibani
kamanda wa polisi mkoa wa dar afande selemani kova akisoma risala kwa niaba ya jeshi la polisi mara baada ya mazishi jionin hii katika makaburi ya kinondoni jijini dar








Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ulale salama Mzee Hoka... may god rest your soul... A life long family friend, you'll never be forgotten - Deo, UK

    N.B. Iggi na Tofa, poleni sana n please keep in touch brothers!!!

    ReplyDelete
  2. poleni sana jamani wakina devota. mungu awatangulie katika yote tuko pamoja nanyi. Minnesota

    ReplyDelete
  3. Poleni wafiwalakini Kaka michuzi baba Mkwe wa zamani au?

    ReplyDelete
  4. we anony Tue Sep 15, 10:57:00 AM, huyu ndio kati ya baba mkwe halali wa michuzi. waliofuatia wote ni fotokopi tu!

    ReplyDelete
  5. Samahani kwa kutoa maoni haya hapa. Afande Chicco tuliokuwa vijana enzi za Kamanyola na Mzee Makassi Bwalo la Polisi Oyster Bay tumeshangaa kumuona Afande. Miaka ya 70 Afande Chicco alitupa kazi pale bwalo alipokuwa Meneja. Mzee Kiki, Mzee Makassy na Remii mupoo?

    ReplyDelete
  6. Deo Hoka pole sana nakukumbuka tulikuwa wote Itaga pole sana

    ReplyDelete
  7. Poleni sana jamani wakina da Marsha, Deo, Devo, grace, Tofa, fortu,Iggi, Mode na wote wafiwa. Mungu amlaze pema mzee Hoka, Amina.
    Neema Mayeng, U.S.

    ReplyDelete
  8. Love and Miss you guys alot. My prayers with your family. Be strong and Keep the Faith.
    Neema M, U.S.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...