Roman Abramovich during one of his nature tours
Abramovich's private boeing lands in one of its tours

Chelsea FC's billionaire owner Roman Abramovich jetted into Kilimanjaro International Airport in Arusha, Tanzania, today ahead of a hushed itinerary that is expected to include visits to game parks and possibly Mount Kilimanjaro in the country's world renonwed northern tourist circuit.

National Parks Authority (TANAPA) officials in Arusha have confirmed the high profile visitation but insisted that the tour was not for public consumption since the billionaire’s entourage is keeping the whole thing under tight wraps.

Pascal Shelutete the Media and Communications officer for TANAPA on confirming the visit of the billionaire said that after landing at KIA Mr. Abramovich immeadiately connected to Serengeti National Park where he is supposed to be staying at the state-of-the-art Grumeti Luxury Lodge.

“That is as much as I can say because he is not our guest and his trip toTanzania as it seems is confidential.

"But yes he will be around for sometime though I also can’t say for how long,” Mr. Shelutete remarked over the phone.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Kaja kuinunua simba huyo.
    Yanga mwakani watakoma!!! LOL

    ReplyDelete
  2. BONGO TUWE WAANGALIFU SANA NOA MIKATABA PAMOJA NA MAJASUSI/WIZI WA KIMATAIFA..

    ReplyDelete
  3. anony sasa mikataba/ujasusina wizi wa kimataifa unahusiana nini na ujio wa Abramovich??? wizara ya utalii inatakiwa itumie nafasi hii kutangaza utalii wetu huko nje....

    ReplyDelete
  4. aya iyo state of art grumeti luxury lodge ya nani tena?sie wazawa twaruhusiwa kuingia na costs zikoje?
    isije kuwa "exclusive for billionaires"


    ila jamani hii nchi ina vitu ata mtu ukiulizwa hujui iko nchi gani?afu mgeni ndo anajua kuliko mwenyeji

    haki ya nani hii nchi?God help us

    ReplyDelete
  5. Huyo mhusika anasema hii safari ni confidential, halafu anataja mpaka hotel anayofikia huyo mgeni...kweli watanzania tuna kazi.

    ReplyDelete
  6. Huyu jamaa ana deal na mambo ya mafuta pia, halahala jamani labda ndo kashauziwa lisehemu kinyemela..kwasababu hawa watu maarufu wanalenga sana ..it could be that he has two motives; vacation and business as well.

    Ila kwasababu mimi ni mpenzi wa chelsea nilikuta miss called yake.

    ReplyDelete
  7. I am so shocked to see that KIA is in Arusha Region,Otherwise this is a golden chance for TANAPA promote tourism by using this guy
    Thanks

    ReplyDelete
  8. inamaana wewe unayosema hujui KIA iko arusha,ulidhani iko wapi,au kwa sababu inaitwa kilimanjaro airport ndo ukadhani iko moshi,kiando inatenganisha arusha na moshi,baada ya kia ndo moshi,ukiangalia adress za KIA utaona ni arusha.kuhusu grumeti ni hotel moja kati ya hotel nyingi za nyote tano serengeti,lakini kwa kiwango iko chini kidogo ya hotel kama faru na singita ambazo pia ni mabilionea tu wanafikia,na kempinski nao wamefungua mwezi ulopita serengeti.grumeti ni ya bilionea wa kimarekani na mjumbe wa bodi ni benjamin mkapa,kulala kw hotel za nyota tano serengeti ni kuanzia dola 1000 mpaka dola elfu 15000 per night.singita ndo most luxury and expensive,unaweza kuseach google ukaziona.singita ndio pepo ya serengeti.

    muelimishaji

    ReplyDelete
  9. TANAPA na Wizara ya Utalii pamoja na kuwa ni ziara binafsi, haitakuwa vibaya vigogo mmoja mmoja toka TANAPA, Tanzania Tourist Board na Wizara ya Utalii 'kumzukia' na kumsalimia 'Karibu Mgeni' na 'kumuuliza kama kuna vitu vya ziada vifanywe' ili Mabilionea wengi watembelee Tanzania.

    Mdau
    Chelski.

    ReplyDelete
  10. Geshi Ra Wakurya rinasemaje kuhusu hayo magwanda ariyovaa muheshimiwa?!

    ReplyDelete
  11. Wabongo baana hata mipaka ya nchi yao hawaijui eti KIA ipo Arusha ,hivi ni nani amewaroga? KIA IPO KILIMANJARO. ipo mpakani mwa Kilimanjaro na Arusha katika eneo moja linalotambulika kama kingori na upande wa Kilimanjaro ni Boma ngombe.

    ReplyDelete
  12. Wewe uliyeandika hii mada naona akili yako haiko sawa..Kilimanjaro International Airport iko Arusha???nani kakwambia wewe hilo swala,kama hujui kitu fanya uchunguzi ndio upost mada zako..KIA iko KILIMANJARO..fala wewe..na Michuzi usinibanie comment yangu tafadhali..
    Mdau HEL....

    ReplyDelete
  13. I salute youuuuuuuu R.A.No more comment....nilivyo nashida zangu ye billionaireeeee ka nife

    ReplyDelete
  14. anon 01:19 pm mbavu zimeniuma kwa kucheka kweli kuna watu hawakukimbia umande bali akili zao zilikuwa zimeganda ingawa walikuwa wanaenda shule kila suku naomba tu nikuite nunda au mbumbumbu ati kia ipo arusha lol hii ni funga kazi ya mwaka kilimanjaro international airport a.k.a KIA ipo moshi ingia google tu ukate mzizi wa fitna mr 0
    miss michuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...