Mdau Frank Mtao, mtayarishaji mashuhuri wa vipindi vya TV Channel 10 yuko Australia katika jiji la Sydney akicheza soka la kulipwa akichezea ligi ya wilaya katika timu ya R. Terrace. Yeye alienda tu siku moja kula tizi ili kujiweka fiti kiafya na kupunguza kifriji. bada ya kufanya mavituzzz kama mrisho ngasa jamaa wakammaindi na kumsajili kucheza katika ligi yao. mmatumbi ni yeye pekee na anacheza kama kiungo mshambuliaji na wakati mwingine straika. hadi sasa keshapiga mabao 7 (Maximo upo???) Pia kawapiga mzinga kuwaomba nao wamekubali na wanalifanyia kazi ombi lake. mambo yakiwa msano atarejea karibuni na vifaa bwelele.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamaa anapiga soka la kulipwa au chandimu la kimataifa? Tupate ufafanuzi manake alikuwa bongo tukawa hatumwoni.

    ReplyDelete
  2. there has never been anyone like this guy in Nani Ni Nani on Chennel Ten. Jamma kipindi kilimnata kisawasawa. Kila la heri.

    ReplyDelete
  3. Kaka Michuzi tuambie jamaa anadondoka lini bongo maana tumemiss kipindi chake cha television sanaa...jamaa anakamua hewani kisawasawa yaaani ni mtangazaji mzuri sana kumbe hata soka anapiga pia hahahaaa shabiki wa Manchester wa kutupwa mshkaji!

    ReplyDelete
  4. Duh... kijana anatisha!!! ndo ameamua kiingiia kwenye soka sasa...

    I wish him the very best....

    We miss u broda

    When are you coming back home jamani.........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...