KLABU YA USHAIRI INAWAKARIBISHA TENA SOMA MKAHAWANI IJUMAA HII
Tutavinjari dhamira ya kuondoka—kuachana, kuhama, kutengana na hisia zinazoendana na kitendo cha kuondoka.: inaweza kuwa furaha na huzuni; huzuni kwa kuachana na marafiki, kuondoka mahali ulipopazoea; zikikinzana na furaha na msisimko unaotokana na matarajio ya kukutana na hali na mambo mapya huko uendako. Tutafanya mazoezi ya kuandika mashairi kwa mtindo wa Ushairi wa Kiingereza wa “rhyming couplet”.
Jaribu kutunga shairi, au wimbo unaobeba hisia za kuagana uje nao.
--------------------------------------------
This Friday in the poetry forum we are writing on the theme of departure. Departure is both bitter and sweet, sadness for leaving friends and happy places and the excitement of the adventure just around the corner.
We’ll also be experimenting with the form of the “rhyming couplet”, how it should capture the essence of a poem in two neat lines. So come with songs and poems to try, and we’ll explore the essence of good bye.
________________________________________________________
The forum is lead by/Wawezeshaji ni: Irena Pearse and Emanuel ‘Sodoki’ Kalimili on guitar/na magitaa yao.
Kuanzia saa 12 hadi saa 2 usiku/Starting at 6pm – 8pm.
Please come with a pen and paper to write, and your poems to share.
Karibuni wote!
Kwa mawasiliano zaidi:

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...