
"BONANZA LA EID" katika kusheherekea sikukuu ya IDI MOSI, FLAVANITE inakualika na kusherekea pamoja kwa stail ya tofauti na ndo maana MAYENU yatatawala yakiporomoshwa na dj MACKAY & dj BONILUV.
Na hii lazima utakumbuka kipindi kileee MUZIKI ulipokuwa MUZIKI si unakumbuka enzi za disco lilipokuwa PINC COCONUT na TAZARA wote watakuwepo kwanini WEWE ukose,utajutaaaaaa...
Mambo yose yatakuwa
IDI MOSI
pale pale pa jana....
MZALENDO PUB
millennium tower
Kijitonyama
Daslamu
duuuh mambo lazima yatakuwa mswano,lazima tuje maana ni kitambo,kweli historia itajirudia kwa maana yule mtoto mackey ni noma,namsikiliza sana kwenye kipindi chake jumaapili eastafrican radio anaua sana,kama hayupo hivi lakini namkubali sana
ReplyDeleteMBONA HAMUWEKI NA TAHADHARI YA KUANDAA MAJENEZA KWA AJILI YA TOTO DISCO?
ReplyDeletedisco pale mzalendo huwa linanoga kweli ukizingatia na hawa ma dj walivyo itakuwa ni full burdani
ReplyDeleteWEWE ANONYMOS ULIECOMENT HAUJATULIA KWANI UMEAMBIWA HII NI DISCO TOTO?NA KWANI UMEAMBIWA DAR NI TABORA,DAR HAKUNA MAMBO YENU YA HUKO MIKOANI,WAACHE WADAU WABURUDISHA
ReplyDeletehii mimi nimeipenda kwa maana kiukweli hatukuwa na sehemu ya kwenda kukumbuka wakati ule wa disco la mayenu,tuko pamoja bonny na mackay
ReplyDeletetukubali mackay ni mkali sanaaaaaaaa kwenye bolingo, dogo poteza ile mbaya. me huwa namkubali siku zote toka yupo california dreamer yani penye sifa tusibanie tumpe mstahili. big up bonnylove kwa kumtrain dogo kasimama si kawaida
ReplyDelete