Home
Unlabelled
Jaji Stella Longway astaafu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duuh mama longway ananikumbusha enzi la mwalimu 1982 na 1983 ktk kesi za uhujumu uchumi mahakama yao ilikuwa anatoglo mnazi mmoja. mkuu wa nani hii ulikuwa ushakuja mjini enzi hizo?
ReplyDeletemdau
kisiju pwani.
Nice to see you mheshimiwa Mrango.
ReplyDeleteMama Longwe tulikaa nao wote Regent Estate. Ninakumbuka tulikuwa majirani pale na Rubama na moshi na Tibakweitira. Hii ni wakati wa Mwalimu pale Regent...Ninawakumbuka Sam na Benja jamani bado mpo Tanzania..pamoja na mama marale
ReplyDeletePatrick umenikumbusha mbali sana ,enzi ya Regent tukiwa bado watoto wakati huu tulikuwa tunakaa na Marehemu Bibi Longway na Auntie Stella ,tukicheza mpira pale uwanja jirani na nyumbani kwenu,vijana wengi wa Regent wakina Ubwe Rubama,wakina Jovin Tibakweitira,Andrew Luwanja,Kipara na Manywele na wengine wengi.
ReplyDeleteMimi na Benja tupo Dar
Hongera mama kwa kulitumikia taifa vyema....
ReplyDeleteBenja, Mama arifariki mwaka juzi na mzee hupo kijitonyama na sister. Edger Tiba tuko naye huku states na sasa wewe huko Dar unafanya nini? Unajua Joram, Francis, Richard, Makungu, Meja, na Holo walifariki dunia. Mama na Makungu wamezikwa pale Kinondoni...ninaongea sana na Kunda alikuja hapa States sasa Kipara, Manywele, Ujuku wako wapi?
ReplyDeleteBenja, Mama arifariki mwaka juzi na mzee hupo kijitonyama na sister. Edger Tiba tuko naye huku states na sasa wewe huko Dar unafanya nini? Unajua Joram, Francis, Richard, Makungu, Meja, na Holo walifariki dunia. Mama na Makungu wamezikwa pale Kinondoni...ninaongea sana na Kunda alikuja hapa States sasa Kipara, Manywele, Ujuku wako wapi?
ReplyDeleteBwana Mrango, nafurahi sana kukuona hapo nasikia siku hizi umekuwa msajili, labda wewe ndio utayechukua nafasi ya mama longway, kwani uchapaji wako wa kazi nikabambe nakukumbuka toka tukiwa wote Moshi. Nyie akina Mrango bwana babu kubwa nilisikia kaka yako mkubwa amekuwa Balozi?? safi sana mzee wenu alikuwa mtu makini sana na mwenye kupenda maendeleo sitamsahau pale Moshi.
ReplyDeleteMie Jirani yenu John pale Dar Street, nipo state sasa.
chchonde chonde mamam usiondoke tunahitaji msaada wako sasa kuliko wakati wote tunaomba hata uwe mama wa baraza
ReplyDelete