Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania Mh. Mary Herrit Chibibi Stella Longway (nyuma shoto) akiwasili chumba namba 1 cha mahakama kuu tayari kwa sherehe ya kumuaga rasmi baada ya kuitumikia idara ya mahakama wka miaka 35. Hafla hiyo ilisimamiwa na Jaji Kiongozi Mh. Fakih Jundu na kuhudhuriwa na majaji wastaafu na wali kazini wa mahakama ya rufaa, mahakama kuu na familia
sehemu ya waheshimiwa wakati wa shughuli hiyo
Mh. Mary Herriet Chibibi Stella Longway akisoma risala yake ya kuaga
Katika picha ya pamoja na majaji
picha ya pamoja na wana familia

picha ya pamoja na wafanyakazi wa mahakama kuu kitengo cha ardhi ambacho Mh. Longway alikuwa akikiongoza
Mh. Longway na majaji wastaafu wenzie, toka shoto Mh. John Mrosso, Mh. Damian Lubuva, Mh. Longway, Mh. Robert Kisanga na kulia ni Jaji Kiongozi Mh. Fakih Jundu.
akihojiwa na TBC 1

akiwa na bintiye Juliana na mai mkwe wake
akiwa na mabinti wa Hamza Azizi ambao familia zao zimeishi pamoja toka enzi ya mwalimu na tanu










Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Duuh mama longway ananikumbusha enzi la mwalimu 1982 na 1983 ktk kesi za uhujumu uchumi mahakama yao ilikuwa anatoglo mnazi mmoja. mkuu wa nani hii ulikuwa ushakuja mjini enzi hizo?
    mdau
    kisiju pwani.

    ReplyDelete
  2. Nice to see you mheshimiwa Mrango.

    ReplyDelete
  3. Patrick NhigulaSeptember 05, 2009

    Mama Longwe tulikaa nao wote Regent Estate. Ninakumbuka tulikuwa majirani pale na Rubama na moshi na Tibakweitira. Hii ni wakati wa Mwalimu pale Regent...Ninawakumbuka Sam na Benja jamani bado mpo Tanzania..pamoja na mama marale

    ReplyDelete
  4. Patrick umenikumbusha mbali sana ,enzi ya Regent tukiwa bado watoto wakati huu tulikuwa tunakaa na Marehemu Bibi Longway na Auntie Stella ,tukicheza mpira pale uwanja jirani na nyumbani kwenu,vijana wengi wa Regent wakina Ubwe Rubama,wakina Jovin Tibakweitira,Andrew Luwanja,Kipara na Manywele na wengine wengi.
    Mimi na Benja tupo Dar

    ReplyDelete
  5. Hongera mama kwa kulitumikia taifa vyema....

    ReplyDelete
  6. Patrick NhigulaSeptember 05, 2009

    Benja, Mama arifariki mwaka juzi na mzee hupo kijitonyama na sister. Edger Tiba tuko naye huku states na sasa wewe huko Dar unafanya nini? Unajua Joram, Francis, Richard, Makungu, Meja, na Holo walifariki dunia. Mama na Makungu wamezikwa pale Kinondoni...ninaongea sana na Kunda alikuja hapa States sasa Kipara, Manywele, Ujuku wako wapi?

    ReplyDelete
  7. Patrick NhigulaSeptember 05, 2009

    Benja, Mama arifariki mwaka juzi na mzee hupo kijitonyama na sister. Edger Tiba tuko naye huku states na sasa wewe huko Dar unafanya nini? Unajua Joram, Francis, Richard, Makungu, Meja, na Holo walifariki dunia. Mama na Makungu wamezikwa pale Kinondoni...ninaongea sana na Kunda alikuja hapa States sasa Kipara, Manywele, Ujuku wako wapi?

    ReplyDelete
  8. Bwana Mrango, nafurahi sana kukuona hapo nasikia siku hizi umekuwa msajili, labda wewe ndio utayechukua nafasi ya mama longway, kwani uchapaji wako wa kazi nikabambe nakukumbuka toka tukiwa wote Moshi. Nyie akina Mrango bwana babu kubwa nilisikia kaka yako mkubwa amekuwa Balozi?? safi sana mzee wenu alikuwa mtu makini sana na mwenye kupenda maendeleo sitamsahau pale Moshi.
    Mie Jirani yenu John pale Dar Street, nipo state sasa.

    ReplyDelete
  9. chchonde chonde mamam usiondoke tunahitaji msaada wako sasa kuliko wakati wote tunaomba hata uwe mama wa baraza

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...