Home
Unlabelled
JK ahutubia baraza kuu la umoja wa mataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michu tuwekee hotuba ya Ghadafi kama unayo kwani mzee huyu badala ya kuhutubia dk 15 zilizopangwa yeye alihutubia zaidi ya muda uliopangwa na kuwapa wakubwa wa Dunia hii vipande vyao!
ReplyDeleteingenoga saana jk akawa na mabodigadi mademu we acha tu
ReplyDeleteAt least Ghadafi walimsikiliza Ahmednajad aliwasambaratisha wote, sijui Hugo Chavez na Mugabe watakuja na zipi kwenye kikao hiki.
ReplyDeleteJK wakati anahutubia kulikuwa na watu wangapi humo ndani?
ReplyDeletenafikiri waliokuwa ndani wanamsikiliza walikuwa wale waliofuatana nao toka Bongo na mpiga picha wake mkuu wa wilayaa ya nani hii ambaye kwa ukanumba wake hakuelewa..michuzi usibanie hii!
ReplyDeleteWakati Jk anautubia walio kuwa njea walikuwa hawana habari , wengine tulikuwa tunapata chai hapo kwenye UNO cafe, walikuwaepo kama watu 45 hivi, bila shaka ni wafanyakazi!
ReplyDeletekwanza alichelewa, pili kaongea pumba tu, alishindwa kusoma sehemu zingine...shida tupu
ReplyDeleterudi mkuu utusaidie Mbagala.... kabla hujapata safari nyingine
ReplyDeletemhh Tanzania zaidi.....
Hutuba ya JK imetawaliwa na kuombaomba Tunaomba vyandarua,tunayo ardhi nzuri tunaomba mje kutulimia,tunaomba mtujengee barabara,Wakaguzi wa mahesabu ya Bank tunaowa kutosha Aksanteni.
ReplyDeletekwanini anavaa tie nyekundu na atleast sio kijani au some rangi zinazofanania na bendera yetu kwani hapo anaonekana kama democrat vile
ReplyDelete