Michuzi,
naomba wajulishe wadau yatakayojiri kesho tarehe 9 mwezi wa 9 mwaka 09, saa 9 na dakika 9 mchana..........
nasikia kuna some astronomical changes itatokea
Mdau

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. washirikina huwa wanafanya maisha yawe magumu,waachieni wenye dini zinazosupport hayo kama wachina

    ReplyDelete
  2. Hamna lolote, labda tu Dubai ndo watakuwa wanzindua metro coach yao, aha haa!

    ReplyDelete
  3. Astronomical changes gani,UZUSHI M2PU!!Hizo astronimical changes hazikutokea Mwaka 2000 ambapo kila mtu duniani aliamini kwamba kuna jambo lingetokea ndo itokee kesho?

    Je unajua kwamba wiki 3 zilizopita,I mean tarehe 7 ya mwezi uliopita saa sita na dk 34 na sekunde zake 56 ilikua:12:34:56 07/08/09.Hiyo maana yake ni 123456789 ambayo nayo haitotokea tena maishani mwako.Wafahamu wa mambo tuliliona hili na hatukushtua umma kwamba sijui kuna nini,mara nini.UZUSHI M2PU!!

    mKuLiMa-kIjIjInI gEzAuLoLe.

    ReplyDelete
  4. wachawi utawajua tu na je ikifika 09.09.9999 itakuaje mtasemaje?kwa sababu hii ni 09.09.2009

    ReplyDelete
  5. Hivi mtu huyu anaongea haya akizingatia time difference duniani au?! Nadhani angefikii kuhusu hilo asingebonfya kabisa computa yake kuandika mbofumbofu hii!

    ReplyDelete
  6. Kaka Michuzi,Hiyo ni Dubai wanafungua Metro yao na ni ya kwanza ktk nchi za kiarabu na kama utaona vituo vyake si mchezo hakuna duniani hawa jamaa wanakuja kwa kasi sana katika maendeleo ya kidunia nitatuma picha za vituo vyake kwa ushahidi kamili.

    ReplyDelete
  7. Ishini Semeni INshallah kesho ifike wacheni na Mambo ya kubahatisha.

    ReplyDelete
  8. LEO NI TAREHE O9/09/09. JE WAJUA KUWA NAMBA 9 KICHANYA INAWAKILISHA KUSAMEHEANA, KUHURUMIANA NA MAFANIKIO? KWA UPANDE WA HASI INAWAKILISHA KIBURI, DHARAU NA KUJISIKIA?

    KWA WENGINE NAMBA 9 NI NAMBA YA UTAWALA NA UONGOZI.

    Mathematicaly it has unique properties kama vile the sum of the two-digits resulting from nine multiplied by any other single-digit number will equal nine. So 9x3=27, and 2+7=9. Or multiply nine by any two, three or four-digit number and the sums of those will also break down to nine. For example: 9x62 = 558; 5+5+8=18; 1+8=9.
    Sept. 9 also happens to be the 252nd day of the year (2 + 5 +2)=9

    Jamani hayo ni mahesabu tu. Lakini anaetaka kuyatumia kiimani au kishirikina ruksa bwana. Hii ni dunia huru. Na wengine kwa ujinga na uzushi wenu mtaanza maneno kama kawaida yenu ya uzushi.

    ReplyDelete
  9. Acha kutuzingua wewe 08:10:00 AM, Anonymous Ustaadh, kadanganye watoto huko

    ReplyDelete
  10. check hapo kamanda wangu:
    http://news.yahoo.com/s/livescience/20090908/sc_livescience/why090909issospecial

    ReplyDelete
  11. mbona mnanitisha wajameni!sasa na mimi ambaye leo ni birthday yangu nini kitanitokea?

    ReplyDelete
  12. hiyo saa 9 kwa saa za wapi?









    ?

    ReplyDelete
  13. Hiyo saa 9 na dakika 9 uliyoisikia wewe ni ya wapi? New Zealand? Australia? Uchina? Tanzania? Greenwich Mean Time??

    ReplyDelete
  14. Hiyo siku imekaa kisharishari hivyo sio sio vizuri kufanya mambo makubwa ya kihistoria kama vile kufunga ndoa na kama huamini utasikia. Sikiliza ni mikwaruzano mingapi itatokea hiyo kesho

    ReplyDelete
  15. NIKWELI ZITATOKEA NAZO NI PALE WANAWAKE 99999 WATAKAPO KUWA MWEZINI.

    ReplyDelete
  16. Hakuna lolote ushirikina tu hata kwenye Yahoo nimeona wenye kuamini uongo uongo huo .Mambo ya nyota sijui zimefanyaje hakuna kitu hata Mungu anakataza ukisoma kwenye Biblia amekataza watu wasiwaone wapiga ramli,bao,nyota,awnajimu.Masaa mawili tu yajayo hujui nini kitatokea sembuse siku ya kesho???? huwezi kujua na wanajimu wote hupewa utabiri na viumbe vya ajabu yaani mapepo,majini....elathi

    ReplyDelete
  17. Ustaadh asieytaka masiharaSeptember 09, 2009

    Kama kawaida yako wewe Anon wa 08:10:00. Michango yako yote ni kuponda tu. Nitakumwagia laana wewee!!Usifanye masikhara. Hab...hi al amaar mkubwa wewe. Kama huna la kusema kaa kimya na waacha wakubwa wachangie. Huna m...na hata kidogo. Usinifanye nikaharibu swaumu yangu kama Asha Ngedere!!Alaa!!

    ReplyDelete
  18. WEE 04:36:00PM MBONA UKISOMA HIYO UNAYOSEMA KAZI YAKE NI KUPONDA TU HAKUNA SEHEMU YOYOTE ANAPOPONDA! INAELEKEA UBONGO WAKO UNACHENGACHENGA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...