Home
Unlabelled
kungwi wa miss TZ 2009 na mkuu wa itifaki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
watanzania kwa kujipa moyo....sasa inamaanisha kwamba kungwi akiwa mzungu ndiyo ushindi bwelele ama? kwani kungwi wa Nancy sumari naye alikuwa mzungu?
ReplyDeleteslavery mentality kwamba mweupe ni bwana na mweusi ni mtwana..tuulizeni sisi tunaoishi nao hao weupe jamani hao ni mambumbu mzungu wa reli
ReplyDeletewewe anony wa kwanza acha ubaguzi kwani akiwa mzungu au mwafrika kuna tatizo gani?huyo mjerumani ni professional wa mambo ya urembo na waliomwita sio wajinga wanajua mchango wake au tukuweke wewe tuone upuuz wako!
ReplyDeleteHuyo mkuu wa itifaki mh Makoye Albert tuna kukubali kwa mchango wako na unatuwakilisha vema wakazi wa mikocheni B.
ReplyDeleteMheshimiwa Makoye?? Hivi nyie vijana hili neno "Mheshimiwa" mbona mnalitumia vibaya? siyo kila mtu huitwa mheshimiwa kirejareja tu. Hadhi ya Mheshimiwa ni kwa ajili wanasiasa kama vile Rais, Waziri Mkuu, Makamu, Spika, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya. Wengine ni Mkuu kumaanisha ubosi wake. Sasa huyu Makoye au msanii mwingine ataitwaje mheshimiwa? Come on jamani tutumie misamiati ilivyo. Huwezi kusikia Kardinali au Askofu au Shehe akiitwa mheshimiwa. Wana hadhi zao. Hiyo ndiyo itifaki bwana. Eboo? Michuzi vipi bwana.
ReplyDeleteyaani hata mashindano ya urembo tunataka msaada mzungu????????????mbona watz tumeishiwa hivi.....
ReplyDeleteHuyo mama ni sawasawa tu awe matron wa Miss TZ
ReplyDelete2009, acheni wivu na ubaguzi njie !! Lakini nataka
kuwe na Assistant Matron ambaye ni Mtanzania ili ajifunze ujanja wake ili miaka ifuatayo yeye ndiye awe Matron wetu. Tukumbuke mambo ya mashindano ya urembo yalianzia ulaya na sisi tunashiriki sasa.Ni vizuri kufahamu ni vitu gani muhimu wanaangalia ili tuweze kushindana kimataifa. ie "Miss world competition," Kumbuka "Internet" haikuanzia Tanzania..........!!!!
"Mungu ibariki Tanzania"
Jamani Urembo ni fani nasio zima moto! Huyu mzungu hawezi kubadilisha mentality ya hawa wa rembo kwa muda aliopewa(u cant train an old dog a new trick).Huyo apewe kazi ya kukuza vipaji vya urembo tokea primaries! Na ningewashauri kama mnahitaji mtalaamu wa haya mambo Nendeni Venezuela au India.Hiyo pesa bora mngempa Mmatumbi akajenga baada ya Mashindano!Jifunzeni toka timu ya soccer ya Taifa.Kwanza hawa wajerumani huwa hata hawa smile!!
ReplyDeleteHalafu kumalizia hawa warembo wetu wanaanza mapenzi mapema sana na catwalks haitakiwi mtu asiyumbe sana!!
KABLA SIJAFUNGUA BAKULI LANGU TUNGEOMBA KUPATIWA QUALIFICATIONS ZAKE. NA KAMA KWELI HMNA MTU BONGO ANGEWEZA KUAJIRIWA NA KUBAKIZA HELA YETU BONGO BONGO
ReplyDelete