The Winner of the 2009 SADC Essay Competition in the Secondary School category, Mr. Allen Kamnde, a form three pupil from St. Franciscan Maua Seminary in Kilimanjaro displays his certificate to the audience after receiving it from the outgoing Chairperson of the SADC, Mr Jacob Zuma in Kinshasa yesterday. Picture by ASSAH MWAMBENE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. what was that for?

    ReplyDelete
  2. keep it up great effort from rector of maua

    ReplyDelete
  3. Congratulations young boy, umekutana uso kwa macho na "Play Boy" Jacob Zuma.

    ReplyDelete
  4. Ingekuwa bomba tuone na hiyo insha yenyewe iliyompa ushindi.

    ReplyDelete
  5. Hii inaonyesha dhairi kwamba shule za secondary za WAKRISTO hasa RC siku zote zinafanya zizuri na sio kwamba zinapendelewa kama baadhi ya watu wanavyofikiri kwani na huko napo kapendelewa?.
    Hongera sana Allen na tunategemea mengi toka kwako.

    ReplyDelete
  6. Hongera sana kijana kwa kupeperusha bendera ya TZ. Keep it up.

    ReplyDelete
  7. hongera kijana duh we mkali essay

    ReplyDelete
  8. hata secondary ni pupil? akhsante kwa kunifumbua mambo mi nilidhani ni wale wa primary tu ndo pupil...

    ReplyDelete
  9. Sidhani Tanzania nzima ina shule kama hiyo Maua Franciscan seminari iliyopo kule Kilema mkoani Kilimanjaro. walimu wazuri, vitabu chakula bomba, hali ya hewa, sala kwa sana. I studied there 25 years ago and I still cherish what I got there. Mind you, students come from all corners of the country irrespective of their tribe. Of course to study there you ought to be a catholic, and interested in priesthood, though after form six you may skick out.

    ReplyDelete
  10. manosema kiingereza cha tz kiko chini kwa kulinganisha na kanumba livyochemsha BBA oneni sasa kijana
    allen kamnde alishinda nafasi ya kwanza na dada mary hingira wa tz alishinda nafasi ya pili halafu kiijana wa botswana nafasi ya tatu katika mashindano yaliyoshindanisha vijana kutoka nchi 16 za SADC

    ReplyDelete
  11. shule za tz zinaanza kurudi pale zilipokua just after independence. sasa tuna mashule mengi haswa yale ya private ambayo yameanza kuwa na elimu ya juu. hongera sana kijana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...