
The Winner of the 2009 SADC Essay Competition in the Secondary School category, Mr. Allen Kamnde, a form three pupil from St. Franciscan Maua Seminary in Kilimanjaro displays his certificate to the audience after receiving it from the outgoing Chairperson of the SADC, Mr Jacob Zuma in Kinshasa yesterday. Picture by ASSAH MWAMBENE
what was that for?
ReplyDeletekeep it up great effort from rector of maua
ReplyDeleteCongratulations young boy, umekutana uso kwa macho na "Play Boy" Jacob Zuma.
ReplyDeleteIngekuwa bomba tuone na hiyo insha yenyewe iliyompa ushindi.
ReplyDeleteHii inaonyesha dhairi kwamba shule za secondary za WAKRISTO hasa RC siku zote zinafanya zizuri na sio kwamba zinapendelewa kama baadhi ya watu wanavyofikiri kwani na huko napo kapendelewa?.
ReplyDeleteHongera sana Allen na tunategemea mengi toka kwako.
Hongera sana kijana kwa kupeperusha bendera ya TZ. Keep it up.
ReplyDeletehongera kijana duh we mkali essay
ReplyDeletehata secondary ni pupil? akhsante kwa kunifumbua mambo mi nilidhani ni wale wa primary tu ndo pupil...
ReplyDeleteSidhani Tanzania nzima ina shule kama hiyo Maua Franciscan seminari iliyopo kule Kilema mkoani Kilimanjaro. walimu wazuri, vitabu chakula bomba, hali ya hewa, sala kwa sana. I studied there 25 years ago and I still cherish what I got there. Mind you, students come from all corners of the country irrespective of their tribe. Of course to study there you ought to be a catholic, and interested in priesthood, though after form six you may skick out.
ReplyDeletemanosema kiingereza cha tz kiko chini kwa kulinganisha na kanumba livyochemsha BBA oneni sasa kijana
ReplyDeleteallen kamnde alishinda nafasi ya kwanza na dada mary hingira wa tz alishinda nafasi ya pili halafu kiijana wa botswana nafasi ya tatu katika mashindano yaliyoshindanisha vijana kutoka nchi 16 za SADC
shule za tz zinaanza kurudi pale zilipokua just after independence. sasa tuna mashule mengi haswa yale ya private ambayo yameanza kuwa na elimu ya juu. hongera sana kijana.
ReplyDelete