Kwa kutumia blog ya jamii ningependa kueleza umma kuhusu tatizo la siku nyingi hapa kwa wakaazi wa jangwani Shule ya Msingi jangwani beach.
Sehemu ya Nyambizi kama unatoka bagamoyo rd kuelekea white sand kabla ya makutano ya barabara mpya kuna daraja ambalo linapitsha maji mengi sana hasa wakati wa mvua ni kero kubwa sana kwa shule ya msingi na wakazi.

Maji hayo hayana pa kwenda mto wake umefunga na maji uzagaa maeneo yote hapo na mvua zikinyesha inabidi shule ifungwe na baadhi ya wakazi kuhama kwani maji yanakuwa mengi sana na uleta uchafu mwingi kwenye maeneo hayo, walimu wa shule wamesha toa malalamiko mengi tuu pamoja na wakazi wa maeneo hayo lakini bado utatuzi wa tatizo hilo.

Kwanini swala hilo manispaa wasishughulikie na kwanini walijenga hilo daraja na maji hayana pakwenda. Mvua zikinyesha watu uathirika sana na maji pamoja na uchafu mwingi uzagaa.


Malalamiko mengi yameshakwenda manispaa lakini tatizo hilo mpaka leo halijapatiwa ufumbuzi .

Hivyo basi kwa kutumia blog ya jamii tunaomba mkurugenzi wa manispaa na mhandisi wa manispaa watutatulie tatizo hilo ni kero kubwa na wakazi na wanafunzi wanaathirika sana na mafuriko hayo hususan wakati wa mvua.


Mdau mkazi wa Nyambizi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Hiyo ndo Bongo bwana!!! Inamaana maeneo hayo hamna fisadi yeyote wa serikali ya Kikwete anayeishi hapo? Kama hayupo, basi tena, mmeula wa chuya, serikali yenu ni ya viziwi siku nyingi tu. Poleni sana lakini hiyo ndo hali halisi.

    ReplyDelete
  2. THIS WAS ESTABLISHED BY MRS MARTHA DE PURENEZ, WHO DIED AT THE AGE OF 104, AND SHE SPENT 82 YEARS IN MARRIAGE, AND SHE SAID THIS.


    “I know that young ladies will never agree with me, but whoever will implement this, shall be the happiest of all and shall make a nice home; unless otherwise.”

    ITEMS:
    1. The husband is always right

    2. The husband is always the master of the family even if he doesn’t work

    3. The wife must ask for permission from the husband before going in bed as well as before turning the back to him on the bed

    4. If the husband beats the wife and then comes a visitor, the wife should smile as if nothing happened

    5. The husband is still the master and has full control on all the operations even in bed

    6. Even if the wife is right, Article number 1 takes over

    7. The husband never lies, but he enlightens

    8. When the husband is shouting, the wife keeps kneeling down without saying anything

    9. The wife should wait for the husband before making any decision

    11. The husband never comes home late, he is in a meeting

    12. The husband never goes out on the off day but he is attending the family meeting

    13. The wife waits for her husband with her ideas and take those of her husband when he is back home

    14. The wife never works hard during the day to avoid her getting fast tired in the night

    15. The wife never goes to her husband’s office only when it comes an urgent case or emergence of this one

    16. The wife is not allowed to do any kind of expenses without consulting the husband even if its her own money

    17. All the misunderstandings have to be solved by only the two in the bedroom without witness and this should be to the husband’s advantage

    18. The wife never refuses eating, even if she is annoyed

    19. The wife has no orders to give to her husband, but she receives these from him

    20. The wife must respect the husband’s orders carefully

    21. The wife has to take limit of her jealous and not show it in public

    22. The wife ever pays visits to her parents as well as to her in-laws only on permission from the husband and under any circumstances, she should be accompanied by the husband

    23. The wife never goes out without permission from her husband

    ReplyDelete
  3. Taswira plzzzzzzzzzzzzzzz

    ReplyDelete
  4. Mlipoamua kujenga bondeni mlitakiwa myajue hayo! Sehemu yenyewe yaitwa nyambizi nyie mwaenda jenga, kisa kodi zetu zipo kuwahudumia watu kama ninyi. Wahenga walisha sema asiyesikia la mkuu..............

    ReplyDelete
  5. Manispaa ipi? Kinondoni? Sahau. Japokuwa kuna diwani wa magomeni ana nyumba maeneo hayo karibu na Jangwani breeze anaitwa Mhe Bujugu mmiliki wa shule ya Green acres. Mbaneni huyo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...