hiki ndicho kikunchi cha uhamasishaji cha muchacho group kilichofungua pazia ya vikundi vya kushangilia kitaifa na kimataifa, kikiwa ni sapota wa simba sc. hapa wako tazara njiani kuelekea zambia ambako simba sc ilienda kucheza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Namkumbuka jamaa wa tatu kutoka mwisho waliokaa akiitwa Ramadhan(Ustaadh) akiwa anakaa mitaa ya Gerezani, kwa mbaali utafikiri chapa ya Michuzi family hebu ideki hiyo snepu halafu uniambie mwanangu!!Kama yupo tunaomba contact zake

    ReplyDelete
  2. Simba hapo waliwachapa Mufulira Wanderers kwa mabao 5 kwa sifuri mbele ya mzee Kenneth Kaunda...Thuwein Ali alipachika 'hat triki'...wadau mnakumbuka....simba oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. wa pili toka kulia ndio kijana Muhidini Issa Michuzi!!!duh ndio enzi hizo!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...