akitangaza zawadi ya gari jipya ambalo kampuni yake inatoa kwa miss TZ 2009.
mwali afunuliwa.....
warembo wamfunua mwali
vifijo baada ya mwali kufunuliwa
bosi wa masoko wa Vodacom Tanzania Ephraim Mafuru na Mkurugenzi Mkuu wa Shivacom Parthiban Chandrav wakimkabidhi Hashim Lundenga funguo za mwali huyo
lundenga akionesha swichi ya mwali kwa warembo
warembo wakimgusa mwali...
Vodacom Tanzania imetangaza zawadi kwa washindi wa shindano la Vodacom Miss Tanzania kwa mwaka 2009 . Vodacom Tanzania ndiyo wadhamini wakuu wa shindano hilo na mwaka huu wameboresha udhamini wao ili kuhakikisha kwamba baada ya fainali hiyo washindi wanapata zawadi zinazowastahili.
“Mshindi wa pili atajinyakulia fedha ambazo ni shilingi milioni 6,200,000,mshindi wa tatu ataondoka na kitita cha shilingi milioni 4000,000 wakati mshindi wanne atanyakua shilingi milioni tatu”.
Alisema mshindi wa tano atanyakua kitita cha shilingi milioni 2,400,000 wakati mshindi wa sita hadi wa kumi atazawadia shilingi milioni 1400,000 na mshindi wa 11 hadi wa 20 atazawadia shilingi 700,000 kila mmoja.
Vodacom imetenga zawadi zenye thamani ya shilingi milioni 98,hili ni jambo jema kwani Vodacom Tanzania imekuwa ikiongeza thamani ya zawadi zake kila mwaka, alisema Rwehumbiza.
Rwehumbiza amewaomba washiriki wa shindano hilo wazingatie nidhamu na kujituma katika mazoezi ili zawadi watakazozipata ziwe changamoto kwa mafanikio yao.
Alisema, “Ninaamini kwamba mtazingatia ushauri wangu ili hatimaye miongoni mwenu apatikane mwakilishi bora ambaye ataipeperusha vema bendera yetu kwenye shondano la Dunia huko Afrika kusini baadaye mwaka huu.
Vodacom Tanzania wamewaomba waandishi wa habari na wananchi kwa ujumla kuendelea kushirikiana nao katika safari yao ya kumsaka Voacom Miss Tanzania 2009.
Mkuu wa Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom George Rwehumbiza alisema “Kwa mwaka wa 2009,malkia wetu wa shindano la Vodacom Miss Tanzania,ataondoka na gari jipya aina Suzuki Grand Vitara lenye thamani la shilingi milioni 53.2 pamoja na fedha taslim shilingi milioni tisa.
“Mshindi wa pili atajinyakulia fedha ambazo ni shilingi milioni 6,200,000,mshindi wa tatu ataondoka na kitita cha shilingi milioni 4000,000 wakati mshindi wanne atanyakua shilingi milioni tatu”.
Alisema mshindi wa tano atanyakua kitita cha shilingi milioni 2,400,000 wakati mshindi wa sita hadi wa kumi atazawadia shilingi milioni 1400,000 na mshindi wa 11 hadi wa 20 atazawadia shilingi 700,000 kila mmoja.
Vodacom imetenga zawadi zenye thamani ya shilingi milioni 98,hili ni jambo jema kwani Vodacom Tanzania imekuwa ikiongeza thamani ya zawadi zake kila mwaka, alisema Rwehumbiza.
Rwehumbiza alisema Vodacom Tanzania itaendelea kuboresha shindano la Vodacom Miss Tanzania kila mwaka ili kuhakikisha kwamba warembo wanafaidika na shindano hili.
Rwehumbiza amewaomba washiriki wa shindano hilo wazingatie nidhamu na kujituma katika mazoezi ili zawadi watakazozipata ziwe changamoto kwa mafanikio yao.
Alisema, “Ninaamini kwamba mtazingatia ushauri wangu ili hatimaye miongoni mwenu apatikane mwakilishi bora ambaye ataipeperusha vema bendera yetu kwenye shondano la Dunia huko Afrika kusini baadaye mwaka huu.
Vodacom Tanzania wamewaomba waandishi wa habari na wananchi kwa ujumla kuendelea kushirikiana nao katika safari yao ya kumsaka Voacom Miss Tanzania 2009.
Wakati huo huo, Vodacom Tanzania leo imechezesha droo yake ya Tuzo Droo ya wiki na kuwapata washindi SABA ambao wamejishindia Tsh 1 Milioni PESA TASLIMU KILA MMOJA
Bakari Magimba, Dereva - Muheza Tanga
Joseph Magumula, Dreva wa Daladala – Mbezi Beach DSM
Jose Mbusa, Mfanyabiashara - DSM
Talitha Mungia, Mwalimu - Tanga
Felician Bashasha, Afisa wa Bima - Lindi
Madati John, Mwalimu - Mbeya
Amiri Juma, Mpishi - DSM
Pamoja na washindi wengine 100 waliojishindia Tsh 50,000 za muda maongezi KILA MMOJA. Endelea kutumia mtandao unaojali wateja wake wa Vodacom KILA SIKU na ubahatike kuwa mmoja wa washindi hawa.
Pamoja daima
Vodacom Tanzania
mbona pesa nyingi sana....ama kweli Voda com ni matajiri!!
ReplyDelete“Mshindi wa pili atajinyakulia fedha ambazo ni shilingi milioni 6,200,000,mshindi wa tatu ataondoka na kitita cha shilingi milioni 4000,000 wakati mshindi wanne atanyakua shilingi milioni tatu”.
Alisema mshindi wa tano atanyakua kitita cha shilingi milioni 2,400,000 wakati mshindi wa sita hadi wa kumi atazawadia shilingi milioni 1400,000 na mshindi wa 11 hadi wa 20 atazawadia shilingi 700,000 kila mmoja.
thought was going to be a range rover spot or vogue! suzuki vitara
ReplyDeleteAma Voda ni vichaa, au Michuzi ni kichaa. Mshindi wa kwanza apate milioni 9 tu (9,000,000/=) lakini wa pili apate million 6,200,000 (yaani 6,200,000,000,000). Hizo 6.2 trillion ni zaidi ya bajeti ya mwaka ya serikali ya Tz!
ReplyDeletehuyu mrembo mwenye baibui siku hiyo atatokaje na vazi la ufukweni? au kuna baibui za ufukweni?
ReplyDeletePathetic! As poor Tanzanians, we should spend more time and effort to rectify long standing problems at TRL, Bandari, ATCL, TTCL and TANESCO among others, badala ya hizi beauty pageants zisizokuwa na mwisho.
ReplyDeleteHatuendi kokote kwa system hii ya warembo na wasio warembo, okay tukubali kuwa tunapata warembo. What do we do with the less beautiful in our society? I'm really incensed with this crap from Lundenga and company.
jamani anko nanihii kuwa makini na jinsi ya kuandika tarakimu za pesa, kwa mfano, nadhani mshindi wa pili atapata shilingi milioni 6.2 na sii shilingi milioni 6, 200,000 kwani hiyo inakuwa na maana ya mabilioni kitu ambacho sii sahihi kwa "situation" kama hii ya mlimbwende wa tanzania!
ReplyDeletekelvin
hii imetulia vyema enyi ma miss mkitoka huko mkachukue vikozi flani mjiendeleze kuliko kuanza kujihusisha na mambo yetu yaleeee vile ati mna vijina flani na wa mikoani mrudi kwenu sio mbaki hapo dar mkimangamanga na mwishowe vijicent vikiisha mnageuka chakla cha mafisadi mapapa manyangumi mbele kwa mbele ni hayo tu
ReplyDeletemiss michuzi
Watu wengine ni vichwa vya kuku.Mnakosoa vitu vilivyo sahihi
ReplyDeletesasa Michuzi kakosea nini kusema ni milioni 6,200,000? Hiyo ni milioni sita na laki mbili,ambapo ni sawa na kusema milioni 6.2.Mlikuwa mnakimbia HISABATI darasa la tatu nyie.Pumbaff..
Huyu Meneja Mkuu wa Shivacom Parthiban Chandrav anaonekana ni mmatumbi lakini ana jina la kihindi. Inawezekna alibadilisha alipokwenda kusoma kule Kathmandu, Bombay kabla hajaajiriwa na hawa wahindi. Teh !!!! Teh !!!!!!!!!!!!!Teh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteKichwa chako kimejaa mbigili tu. Yaani unasema million 6,200,000 = million 6.2? Kweli kuwa mwalimu ni kazi km kuna binadamu wenye uwezo mdogo kiasi hiki.
ReplyDeletepole zako mbigiri.inaonesha wewe ndiye uliyekimbia hiyo hisabati!!
ReplyDeletendio maana unapoandika cheki,kuna sehemu moja ya maneno na sehemu nyingine ya taarakimu.
we kalaghabaho...
Thamani ya fedha za Zimbabwe nini?
ReplyDelete