pamoja na uhongozi wako wote..!!anyway tunaomba umtoe kijana huyu kwenye web yako kwani Mtanzania ambaye anaonyesha kipaji chake kama kazi kwa mafanikio makubwa nchi za europe na hivi sasa hakiwa tour spain,kwa jina la kazi yake deejay g-town kama unavyomuona hapo watu wakimsapoti kwa kazi yake,anasifika kwa spin party ya aina yeyote ile,hiphop&rnb,house music,bongoflava na kila kitu na producer wa beats vile vile na anakuwa live kwenye radio funx(lijn5) sometimes, anategemea kuja bongo soon....
ukitaka kumpata checkout myspace.com/deejaygtown1,digtown1@yahoo.com,facebook/djgtown.
thanks
thanks
Mbona sisi tupo Europe wala hatujamsikia/ hatumjui?
ReplyDeletePlease tupatie wapi 'base' (kiota cha burudani) yake ili tukaburudike na kazi yake.
Mdau
Europe.
This is JACKASS,Picha ya kwanza kapiga na vyombo,ya pili ni vyombo na wazungu wanacheza!!!!!Whats this.Anybody anaweza kupiga na vyombo and then akajitangaza....Hebu kueni bana, na broda Michuzi vitu visivyotosheleza kama hivi hutakiwi kuviweka.Tupe news za moto na za leo leo sio hizi picha za WABEBA MABOX..eboooh kueni bana.
ReplyDeleteunajua watanzania bado tuna vichuki chuki binafsi,mfano maoni yanayo tolewa na baadhi ya wadau!yanaonyesha kwa kiasi kikubwa tusivyo watakia heri wasanii wetu!
ReplyDeleteTujaribu kuwa na mtazamo safi....hili tusonge mbele,
DJ G-town kamatia hapo hapo dogo.
achana na waosha vinywa
Watanzania kwa chuki! yaani mtu akiwa anafanya mambo fulani ya maana lazima muhate ingekua habari za negative hapo makomenti kibao yaani mitanzania tunapenda negativiti sana du!! i dislike tanzanian behaviour!!
ReplyDelete