libeneke la vivuko vya ukerewe
Mh Mkuu wa wilaya,
Pole na majukumu ya kujenga taifa.
Mungu kanijaalia kijivekesheni kifupi, lakini sio nje ya nchi, but ni huku mwanza, wilaya ya ukerewe.
Hizo picha zinaonyesha mambo ya usafiri wa kivuko yalivyokuwa tambarare. Vivuko vya serikali vyote vibovu havivushi magari, vinavusha abiria tu, so the only option ni kuzungukia Bunda, Musoma or kupanda MV Nyehunge, ya waarabu.

Mizigo ndo dili sana kwenye MV Nyehunge, so, ukicheza tu, ngoma inajaa mizigo, we unaachwa na kausafiri kako,and iko once a day. Naomba uweke kwenye blogu yako ya jamii, ili wenzangu mlio huko Dar muone mambo ya huku. (email kapuni please ) Nawatakia Iddi njema!

Mdau Jay

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...