katibu mkuu mpya wa kuajiliwa wa yanga lawrence mwalusako (shoto) akiwa na aliyekuwa katibu mkuu wa klabu hiyo ya jangwani lucas kisasa leo wakati mwalusako aliporipoti kuanza kazi rasmi.
lawrence mwalusako akiongea na mshambuliaji mrisho ngasa anayepiga tizi kwenye gym ya yanga iliyo katika klabu hiyo mtaa wa twiga na jangwani
sehemu ya klabu ya yanga ambayo inafanyiwa ukarabati wa nguvu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Hongera sana shemeji. Sasa kule Sumaria holdings unaacha kazi? Maana huku Yanga umeajiriwa moja kwa moja.
    Anyway kupanga ni kuchagua na kuchagua ni kuamua. Wewe ndie muamuzi na unajua malengo yako. Na ni Yanga Damu.

    ReplyDelete
  2. hiyo gym mbona machine ziko mbili tu au wanapanga foleni kuzitumia?

    ReplyDelete
  3. Michu, ingawa nahisi kuwa kwa Wanayanga wengi Mwalusako ni mmojawapo wa miamba wa Yanga japo mimi sifikiri hivyo. Katika namba yake ya mlinzi wa kati (wote wa kulia na kushoto) kwa maoni yangu hawa ndo mashujaa: 4. Athuman Juma Chama/L. Tenga; 5. Jella Mtagwa/Constatine Kimanda (Mwalusako anaweza kutajwa na akina Abdulrahman Juma, Selemani Jongo, Rashid Idd Chama na Athumani Kilambo!);
    Kwa nafasi zingine ni: 1. Muhiddin Fadhili/Nyaga (pia Riffat Said, Pondamali, Fungo, Hamis Kinye, Sahau Kambi na Dunia Adonis); 2. Boi Idd Wickens/Hassan Gobbos/ Yusuph Ismail Bana (hapa nimeweka watatu 3, maana nimeshindwa kuwapambanua hawa wawili wa mwisho); 3. Ahmed Amasha/Ken Mkapa (pia Juma Shaaban, Minziro Isaya na Ngandou Ramadhani); 6. Said Mwamba Kizota/Master C Mkwasa/ Juma Jenerali Mkambi (pia Athuman China, Ahmed Amasha, Methodius Mogella, Yanga Bwanga, Issa Athumani na Jumanne Shiengo...); 7. Omari Hussein Keegan/Abdulrahman Lukongo (pia Sekilojo/Kampala/Majungu na Swed Scud); 8. Mwinda Ramadhani/ Ezekiel Greyson Jujuman (pia Dotto Rutta Mokili..., , Muhiddin Cheupe labda na Athuman Iddi...); 9. Gibson Sembuli/Kitwana Ramadhani Manara (pia Makumbi Juma bonga bonga)10. Sunday Manara/Abeid Mziba (pia Nonda Papii)11. Edibily Lunyamila/Abubakar Salum (pia Saleh Hijja, Godian Mapango, Sikinde Mbunga na labda Ngassa? (miaka ijaaaayo!)); Waalimu: Ruud Gutendorf/Tambwe Leya (Dr. Victor/Peter Mandawa/Boi/Mziray?)
    Ningependa kuleta wazo la wadau kuanzisha/chagua ‘hall of fame’. Waafrika wenzangu na lunyasi nao walete mawazo yao. Pia tupeleke swala hili katika wanasoka wa taifa; wanariadha; wanamuziki; bendi za muziki; marefa, watangazaji na waandishi wengine wa habari na hata wanasiasa. Ikiwezekana pia na ‘waliojikongoja’ wanaweza kuanzishiwa listi yao sababu ‘kiza ni ukosefu wa mwanga/nuru’ hivyo vitu hivi siku zote huenda pamoja..naomba kutoa hoja! – UzenG!

    ReplyDelete
  4. Yanga Swimingpool Yetu inakuja mafuriko yakianza hapo mtapiga tizi vizuri. Simba ndio tunazidi kunguruma Sie Tizi na Besikeli Swala Zile Nyeusi.

    ReplyDelete
  5. Duh! Yanga inatisha!. Ndiyo timu pekee TZ yenye gym na jengo kubwa la kimataifa. Endelezeni ubabe TZ.

    ReplyDelete
  6. Wanayanga mashine used ziko kibao goodwill. Tufanyeni halambee tuongezee vifaa gym yetu

    Nina donai ya $100 kama kuna special taskforce itaanzishwa.
    Napatikana mariamkude_2@yahoo.com

    Lazima kuwepo na special organised halambee ili nitoe hiyo pesa. najua wajomba home. inaweza kuishia ada ya mtoto.

    If we can tunaweza kununua na ku-sheep bongo.

    Who can start a fundraising. Huruma wajameni. Mashine kwa foleni. Tuisaidie Yanga na tuisaidie Tanzania

    Ndimi mbunge wa kolelo kwa washirikina, naomba kuwasilisha hoja!

    ReplyDelete
  7. anony wa Tue 01 sept 10:03PM acha uzushi mashine ziko nyingi zingine ziko kwa hapo nyuma, vilabu vingine vinatakiwa kuiga mfano huu Hongereni yanga mnaonesha mfano

    ReplyDelete
  8. anony hapo juu simba wachovu tu wao wamezoe majungu na fitna ndio vutu wanavyoweza hahahahah kuwa na maendeleo kama hayo ya yanga itawachukua muda mrefu sana poleni

    ReplyDelete
  9. WATANI, ETI GYM, MASHINE MBILI MBOVU CHAKAVU ZA KIZAMANI, ZIMEJAA KUTU NA KUWALETEA TETANUS, ANGALIA ZISIJE WAVUNJA MIGUU BADALA YA KUWAJENGA, ANYWAY, SOMETHING IS BETTER THAN NOTHING

    ReplyDelete
  10. Mimi Simba damu ila kwa hili nasema safi sana Yanga, iwe changamoto kwa sisi na timu nyingine!

    ReplyDelete
  11. mbona hizo machine zinatupwa mitaani tu huku mkitaka nitawaokotea

    ReplyDelete
  12. ofkoz kila kitu bongo kwa foleni kuazia ATM pesa yetu wenyewe,hospital,daladala nk nk

    sasa nyie mnaojishaua eti harambee sijui machines 2,sii mwende tu mkatoe izo misaada za machines apo?nani kawazuia?beba uo mtumba wako shusha apo yanga,sio laziiima sana adi TV iwepo kukumulika

    kutoa ni moyo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...