Home
Unlabelled
libeneke la www.uturn.co.tz la mange kimambi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongera dada.isiwe ya majungu tu, nimependa idea yako, website ya ujanja hiyo manake na kuna matop nini sijui
ReplyDeletehayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kazi imeanza
ReplyDeleteHUYU DADA ANAPENDA ATTENTION KWEL KWEL. MANGE MUALIKE NABII JOHN MASHAKA ILI BLOGU YAKO IVUTIE WAGENI, YEYE NI MTU WA KUUZA SALAMA...KON.....VIPI KESI YETU ILIFIKIA WAPI.. AU NDO IMEKULA KWAKO MWANANGU?
ReplyDeletehaya haiiyaa.... kumekucha,mbona kumejaa mawigi kulikoni???
ReplyDeleteMange Manyama au Mange Kimambi? Acha kutuchanganya wewe.... Mara Mange Manyama, mara Kimambi. Chagua moja tu.
ReplyDeletemange, na mambo yetu waswahili wa dubai pia tuwekee itanoga
ReplyDeleteany kwani kila mwenye blog anapenda attention basi na mwenye blog hii anapenda attention.acha roho mbaya
ReplyDeleteUmejitahidi dadangu. Ila hayo matop top si ungeyaficha kwanza mpaka research zimalizike? maana inaboa kila unapoingia unakuta under research. otherwise mwanzo mzuri
ReplyDeleteMdau
Cardiff
Daah kama ghost vile yaani.
ReplyDeleteHeheeee! Makubwaaa, yangu macho na masikio sina mengiiii jamani..Asanteni sana..
ReplyDeleteCongrats Mange...wewe ni mbunifu and people should understand that.
ReplyDeleteU are a daring woman and watu kanaopenda kuthibutu hua wanafanikiwa maishani.
Mdau hapo juu unaeuliza kuhusu kesi bado ipo mahakamani..mahakama kuu ta Tanzania in Dar...ukifuatilia mwenedno wa kesi inavyoendelea utajua imefikia wapi..bado inasikilizwa,,itakula kwake vipi na yeye ndio victim aliepigwa na kudhalilishwa na kuna ushaidi wa cctv camera??
Hongera binti wa kipare..the journey has just began..and your star is yet to shine.all the bes
Sista nimeview site yako unayoiita blog.
ReplyDeleteNimeona some technical problems that I can advice.
1:Kuna button za kwenda kwenye link ambazo hazina content.Umuhimu wa blog ni content.So usiweke butons(links) kama huna content.
2:Nimeingia kwenye chat room yako.Kwanza haifanyi kazi kabisa.Pili kuna test message za two weeks ago mpaka leo zipo.Kwa developer yeyote wa site anatakiwa atoe any test data before hajaweka site online otherwise users watakuwa anoyed.
No hayo tuu.Ila good Job.Great Idea.
hizi laptop za kuazimana tu mtu anafungua blog alafu baada ya siku mbili hakuna kitu michuzi angalia sana uwezo wa mtu kufungua blog km vipi uwape ka interview kidogo hili uwajue wanaweza kazi maana kuna blog nyingi zimefunguliwa azifanyi kazi kila ukifungua kuna habari za mwaka 2007 tu haya mpe hongera lakini
ReplyDeletemdau jomabe
Its like everyone is hating on ManNGE..wabongo style up..lol..dats ha personal life on how she lvs n spends ha money..ww kama hujulikani dats ur own problem BONGO NIKUJULIKANA bwana..Na tha 1 who wrote that crap bout mange borown a laptop...hehhehe..ama kweli ww hujielewi na ulichokuwa waandika..
ReplyDeleteMange mummy..all tha best lakini uweke upd8 kwa ENGLISH ili uwafunge watu mdomo ambao awajui NGELI ili thy shouldnt leave any stupid comment..Much luv..!!
UnderConstruction.Please visit Us soon/under research" si usubiri mpk ikamilike ndo uirushe
ReplyDeletedada nakutakia kila heri wala usijali mungu atakusaidia,napenda unavyofanya vitu vyako pia watu wengi wana chuki bila sababu,nakutakia tena kila la heri
ReplyDeleteHuyu dada nampenda ingawa simfahamu......tangu alipomtembezea advertisement Advocate Magai....ilikuwa imetulia kwel kweli....Yani KAMANDA flani hivi.....Bravo Girl!
ReplyDeletesokwe vile
ReplyDeletesafi ila hakikisha kusiwe na majungu,matusi,kukashifiana kama ile blog iliyofungwa na mmiliki kukamatwa.mtu akipost comment au picha za watu bila idhini ya mwenye picha,usiitoe!au yatajirudia yale yale ya utamu kutoa watu majina na picha za watu bila kufikiri madhara yake.i wish u all tha best.
ReplyDeleteDu,, Ila sister tempeations hizo>>???????.. Haya
ReplyDeleteok naona hii blog imetulia, tusubirie tu mashauzi manake unapenda sana attention
ReplyDeletehellow Mange i lov your blog. womens who dare to do something always achive but one thing try to do more research achana na hao wanaosema vibaya.Mtu anaekusema always envy you anataka kuwa on your shoes.Well done.Rahma
ReplyDeleteMange Kimambi IG anakiwasha sana
ReplyDelete