mfalme mswati akiwa na wapambe wake wakisogea ngomani jumatatu. wakati wa ngoma hii kunakuwa na waalikwa kutoka maeneo jirani wasichana kwa wavulana na wanaume na wanawake. Jumla ya wanawake na wasichana 80,000 walishiriki katoka ngoma hii maarufu kama 'Reed Dance' kwa ung'eng'e na huvutia watu toka duniani kote
wake wa sasa wa King Mswati II wakiwasili ngomani
yosso nao huwapo
wasichana waalikwa toka Western, Cape africa ya kusini
waalikwa toka Mpulanga, Africa ya Kusini
mambo ya mitaani nitatumia soon
Mdau wa muda hapa Swaziland





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Duh, Mi huyo wa tatu mstari wa kulia (ulio karibu na kamera) nimempenda! Naweza pata contacts zake tafadhali, kabla Mfalme hajaniwahi kete !!

    Maana nimefurahishwa na Ma-CONFIDENCE Yake.

    Africa Kusini Hoyee...

    ReplyDelete
  2. PETER NALITOLELASeptember 02, 2009

    MICHUZI MIMI NASHAURI KUPUNGUZA STRESS YA WANAWAKE NA MAISHA HII KITU INGEANZISHWA BONGO INGEKUWA RAHA SANA UKIMTAKA DEMU UNAENDA KUMWONA ALIVYO KWANZA ALAFU UNAKAMATA KIMOJA HATA KUKATA KIU SIYO MBAYA. KAMA KIPINDI CHA MUZUMBE INGEKUWA POWA ZAIDI

    ReplyDelete
  3. hapa nawasubiri waosha vinywa...

    ReplyDelete
  4. ebwana eeeh hii imenikumbusha mwaka 1993 to 94 wakati naishi MANZINI ikifika miezi hii huwa tunaende kule king akisha maliza kuchagua mke mpya basi sie ndio tunapata ruksa yakukamata waliobaki du alafu waswazi maharage ya mbeya kupindukia mie nilikua nakamata wanaoanzia majina ya DLAMIN ndo ukoo wa king huo hapo unakula na faida lakini hawa jamaa nawasifu kwa kutunza utamaduni wao na nchi nzima ni kabila moja kwahio powa tu i miss this place Khangwani.

    ReplyDelete
  5. Kumbe hakuna manyanyaso kwa mama zetu.

    Naona pia Bi. Wakubwa (Wake wa Mfalme) pia wanashiriki ngomani kumsaidia Mfalme kuongeza mke.

    Kwa hiyo zoezi hili ni USHIRIKISWAJI wa JAMII nzima ktk kuongeza UMOJA wa WASWAZILAND kwa Mfalme kuoa kila Tarafa na hata Nchi jirani.

    Hongereni kwa kudumisha utamaduni wa Mwafrika.

    Mdau
    Scotland.

    ReplyDelete
  6. Kwa wale mnaopenda kula ambavyo havijaguswa, huko ndo kwa kwenda.

    ReplyDelete
  7. Inawezekana hii nchi ikawa na mabikira wengi wakubwa kuliko nchi zoote Afrika. Wana tabia nzuri.

    ReplyDelete
  8. Bora uolewe wa 10 kwa mfalme kuliko wa kwanza kwa msukuma mkokoteni kila siku kulala njaa na uvumilivu usio wa lazima.

    Maisha siyo kitandani tuu na mezani na mengine pia babu ee.

    ReplyDelete
  9. kaka Peter hapo juu, hii ikianzishwa TZ na tukianzia Dar kwa wale wote wenye miaka 15 na kuendelea sijui km tutawapata ! Bongo kuna watundu wengi sana wa kubomoa mapema mapema ! Kumbuka sharti ni binti awe hajawahi kumegwa. Utawapata bongo? ANA MIAKA CHINI YA 18

    ReplyDelete
  10. huu ni utamaduni wao swazi na si wakwetu tz.Hizi picha mahala pake ni ze utamu,weka picha moja basi yatosha na si kushabikia upuuzi. najua comment kama hizi zote leo ni kapuni

    ReplyDelete
  11. kwa hiyo wakishaolewa ndo wanaficha matiti.huu kweli ni uhuni wa hali ya juu

    ReplyDelete
  12. hata bongo mabikra waliozidi miaka 18 mbona wengi tu jamani. jokate mwegel mbona hajawahi kuguswa kitu bado mmaaaaa

    ReplyDelete
  13. Hii tuihitaji Bongo. Ila hawa Waswazi hakuna hata mzuri mmoja? Yote kama madume, kama wake za Jacob Zuma, wabaya jamani, tuache ushabiki, hebu angalia ile mimama ya Mfalme? Jamaa ana miaka kama 39 au 40, cheki wake zake walivyojazana minyama bila shepu!!!

    ReplyDelete
  14. WE ANONYM WA 09.47, WAKE ZAKE NI WALE WANAONEKANA KWA MBALI KIDOGO, WENGINE NI MAMA ZAKE WADOGO NA MASHEMEJI, KUMBUKA BABA YAKE ALIPITIA MAMBO HAYO HAYO KABLA HAJAFA. NA PIA TOTOZ ZA KIAFRIKA LAZIMA ZIWE NA NYAMANYAMA KIDOGO

    ReplyDelete
  15. Nadhani kwa leo ndo itakua mwisho wangu kucheki hii blog hadi mwezi mtukufu uishe ingawa naipenda sana maana haya sasa si maadili yetu, na pia kwetu afrika ni kama matusi maana huwezi kukaa ukaangalia na mama yako! Inshaallah tarehe 22 sept tutakua pamoja

    ReplyDelete
  16. pm potea na usirudi tena ulilazimishwa kuangalia?? ulipofungua na kukutana na hii mila safi kwa nini hukuziruka na kwenda kwa ishu zingine kama kweli huku enjoy acheni unafiki nyinyi nyoooote mliofunga na kutizama picha kwa ulainiii then mnajadai kutoa comment ati mmekwazika unafiki tuu bora mchawi kuliko mnafiki libeneke oyeeee
    miss michuzi

    ReplyDelete
  17. mdau wa muda swazi...duh unaonekana focus na mzuka wote upo kwenye titizzz za totozzz si mchezo

    yan burudiko tu apa

    asante kutuondolea stress kwa izi zana adhamu...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...