mambo ya mitaani nitatumia soon
Mdau wa muda hapa Swaziland
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duh, Mi huyo wa tatu mstari wa kulia (ulio karibu na kamera) nimempenda! Naweza pata contacts zake tafadhali, kabla Mfalme hajaniwahi kete !!
ReplyDeleteMaana nimefurahishwa na Ma-CONFIDENCE Yake.
Africa Kusini Hoyee...
MICHUZI MIMI NASHAURI KUPUNGUZA STRESS YA WANAWAKE NA MAISHA HII KITU INGEANZISHWA BONGO INGEKUWA RAHA SANA UKIMTAKA DEMU UNAENDA KUMWONA ALIVYO KWANZA ALAFU UNAKAMATA KIMOJA HATA KUKATA KIU SIYO MBAYA. KAMA KIPINDI CHA MUZUMBE INGEKUWA POWA ZAIDI
ReplyDeletehapa nawasubiri waosha vinywa...
ReplyDeleteebwana eeeh hii imenikumbusha mwaka 1993 to 94 wakati naishi MANZINI ikifika miezi hii huwa tunaende kule king akisha maliza kuchagua mke mpya basi sie ndio tunapata ruksa yakukamata waliobaki du alafu waswazi maharage ya mbeya kupindukia mie nilikua nakamata wanaoanzia majina ya DLAMIN ndo ukoo wa king huo hapo unakula na faida lakini hawa jamaa nawasifu kwa kutunza utamaduni wao na nchi nzima ni kabila moja kwahio powa tu i miss this place Khangwani.
ReplyDeleteKumbe hakuna manyanyaso kwa mama zetu.
ReplyDeleteNaona pia Bi. Wakubwa (Wake wa Mfalme) pia wanashiriki ngomani kumsaidia Mfalme kuongeza mke.
Kwa hiyo zoezi hili ni USHIRIKISWAJI wa JAMII nzima ktk kuongeza UMOJA wa WASWAZILAND kwa Mfalme kuoa kila Tarafa na hata Nchi jirani.
Hongereni kwa kudumisha utamaduni wa Mwafrika.
Mdau
Scotland.
Kwa wale mnaopenda kula ambavyo havijaguswa, huko ndo kwa kwenda.
ReplyDeleteInawezekana hii nchi ikawa na mabikira wengi wakubwa kuliko nchi zoote Afrika. Wana tabia nzuri.
ReplyDeleteBora uolewe wa 10 kwa mfalme kuliko wa kwanza kwa msukuma mkokoteni kila siku kulala njaa na uvumilivu usio wa lazima.
ReplyDeleteMaisha siyo kitandani tuu na mezani na mengine pia babu ee.
kaka Peter hapo juu, hii ikianzishwa TZ na tukianzia Dar kwa wale wote wenye miaka 15 na kuendelea sijui km tutawapata ! Bongo kuna watundu wengi sana wa kubomoa mapema mapema ! Kumbuka sharti ni binti awe hajawahi kumegwa. Utawapata bongo? ANA MIAKA CHINI YA 18
ReplyDeletehuu ni utamaduni wao swazi na si wakwetu tz.Hizi picha mahala pake ni ze utamu,weka picha moja basi yatosha na si kushabikia upuuzi. najua comment kama hizi zote leo ni kapuni
ReplyDeletekwa hiyo wakishaolewa ndo wanaficha matiti.huu kweli ni uhuni wa hali ya juu
ReplyDeletehata bongo mabikra waliozidi miaka 18 mbona wengi tu jamani. jokate mwegel mbona hajawahi kuguswa kitu bado mmaaaaa
ReplyDeleteHii tuihitaji Bongo. Ila hawa Waswazi hakuna hata mzuri mmoja? Yote kama madume, kama wake za Jacob Zuma, wabaya jamani, tuache ushabiki, hebu angalia ile mimama ya Mfalme? Jamaa ana miaka kama 39 au 40, cheki wake zake walivyojazana minyama bila shepu!!!
ReplyDeleteWE ANONYM WA 09.47, WAKE ZAKE NI WALE WANAONEKANA KWA MBALI KIDOGO, WENGINE NI MAMA ZAKE WADOGO NA MASHEMEJI, KUMBUKA BABA YAKE ALIPITIA MAMBO HAYO HAYO KABLA HAJAFA. NA PIA TOTOZ ZA KIAFRIKA LAZIMA ZIWE NA NYAMANYAMA KIDOGO
ReplyDeleteNadhani kwa leo ndo itakua mwisho wangu kucheki hii blog hadi mwezi mtukufu uishe ingawa naipenda sana maana haya sasa si maadili yetu, na pia kwetu afrika ni kama matusi maana huwezi kukaa ukaangalia na mama yako! Inshaallah tarehe 22 sept tutakua pamoja
ReplyDeletepm potea na usirudi tena ulilazimishwa kuangalia?? ulipofungua na kukutana na hii mila safi kwa nini hukuziruka na kwenda kwa ishu zingine kama kweli huku enjoy acheni unafiki nyinyi nyoooote mliofunga na kutizama picha kwa ulainiii then mnajadai kutoa comment ati mmekwazika unafiki tuu bora mchawi kuliko mnafiki libeneke oyeeee
ReplyDeletemiss michuzi
mdau wa muda swazi...duh unaonekana focus na mzuka wote upo kwenye titizzz za totozzz si mchezo
ReplyDeleteyan burudiko tu apa
asante kutuondolea stress kwa izi zana adhamu...