Wadau,
Kwa wale amabo wanaopenda kulamba nondozzz ughaibuni kwa kupata udhamini wa 100% na wana sifa, mnaweza kupitia hapa katika links hizi hapa chini na mzifanyie kazi. Ujanja kuwahi....
1. Msc in Logistics (Molde University College - Norway)http://makulilo.blogspot.com/2009/09/msc-programme-in-logistics-molde.html
2. Chevening Scholarships - Several programs (find one you like) UK
3. MA in Global Studies (Germany, Austria, Britain, Poland)http://makulilo.blogspot.com/2009/09/master-of-arts-in-global-studies.html
4. MA Peace and Justice Studies (University of San Diego, San Diego-California, USA)
6. Master's and PhD - University of OIslo (Norway) - There are Several programs http://makulilo.blogspot.com/2009/09/masters-and-phd-scholarships-in-oslo.html
Nawatakia application njema.
Kama mtu una swali, unaweza niuliza.
MDAU MAKULILO, Jr.
San Diego, CA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Good job Makulilo!

    ReplyDelete
  2. Thanks Makulilo for your effort.

    Mpe salamu nyingi Shyrose Banji hapo San Diego kama bado yupo. Mwambie wabongo wanamsubiri kwa mengi.

    Mshikadau.

    ReplyDelete
  3. We do really appreciate your effort God bless you

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...