naibu meya wa ilala mh. slaa akiwasindikiza miss ilala 2009 na wenzie watatu kwenye kambi ya miss tz iliyoanzaa rasmi leo hoteli ya giraffe huko kunduchi beach, dar
warembo wa miss ilala wakiwasili kambini na limo
kinamama kibao walikuwepo kuwapokea miss ilala leo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Bongo kazi ipo.

    ReplyDelete
  2. Huyu Mtoto Gongo la Mboto mwisho wa lami, umeya wa Ilala kapata lini? Ni vizuri nikiona watoto PUGU DUME SEC. wanaonyesha makeke yao. Safi bwana mdogo keep it up

    ReplyDelete
  3. bongo tambarare!! hizi limo zinapita wapi? barabara zetu za kuhesabu, kazi ipo!!

    Mdau wa Juu

    ReplyDelete
  4. Are you serious? kweli Bongo kazi ipo.Meya kabisa au anatania,shughuli mbona za kufanya zipo nyingi uko ilala?hata kusafisha mji .

    ReplyDelete
  5. Wezetu mnaofunga katika mji huo ni mitihani mikubwa inayokukuteni katika miaka hii kwani miaka hiyo ya nyuma kulikuwa na heshima mjini hapo watu wakiheshimu mwezi huu ikiwa wakiristo au dini nyingine leo hali kama hiyo poleni.

    ReplyDelete
  6. we meya shuhulikia kwanza uchafu katika siko la kariakoo na sehemu nyingi za ilala,limosine la kifahari kwa hao mabinti mnawajaza ujinga kesho wanakuwa gonga nyoka tu.acheni ujinga ufahari wakati wilaya chafu.kilimo kwanza

    ReplyDelete
  7. Hawa watoto mnawatia ujinga nyie!! wakitoka hapo wanataka umaaruf uendelee wanaishia kuwa Gold Digger na siye tunawagonga tuu miaani nyambafu!!

    ReplyDelete
  8. aah babu na starehe pia imo mnajidai kama nyinyi ndo wachapa kazi hodari kwani tatizo liko wapi hapo acheni unafiki hata nyie mnaweza mkasafisha jiji vilevie ni kujituma tu
    miss michuzi a.k.a shatashata

    ReplyDelete
  9. JIJI LITUELEZE KWANINI BENDERA YA JIJI ILIBADILISHWA RANGI KUTOKA BULUU INAYOHUSIANA ZAIDI NA ENEO LA DAR ILIPO NA KUPEWA RANGI YA BENDERA YA CCM.

    ReplyDelete
  10. ghalama yote ya hii sherehe kalipa nani kama sio pwesa za walipa kodi???? kalaghabaho

    ReplyDelete
  11. Miss Ilala na matarumbeta kambini!!




    Jana washiriki wa shindano la urembo la Miss Tanzania kutoka kanda ya ilala walitoa ya mwaka kambini.

    Ni baada ya naibu meya wao Jerry Slaa sambamba na kamati ya kambi iyo kuwasindikiza warembo hao na matarumbeta kambini.

    Hii mie naona kama haijakaa sawa jamaa anajaribu kulete style zakugombea siasa kwenye urembo aliongea mdau wa urembo

    Wadau wa masuala haya wanadai hii inahatarisha ushindi wa washiriki hao wa Ilala Akiwepo Sylvia Shally, Julieth William na Evelyne Lijamasa, Gladdes Shao na Precios Donald kwani hii italeta picha mbaya kwa washiriki wenzie ambao wanaona wanapigiwa debe tangu mwanzo.

    "Hizi kampeni kama za siasa kwenye urembo hazilipi badala ya kuunda unakuwa unabomoa , mbwembwe za urembo ni zaidi ya matarumbeta,inabidi kuwandaa vyema warembo kwa kuwapiga brash na kuwawezesha katika vigezo vinavyoshindaniwa wakishinda ndo waje kuwachukua na matarumbeta"alimaliza mdau

    We waionaje hii?!!

    SOURCE DARHOTWIRE

    ReplyDelete
  12. AMA KWELI BONGO C MASKIN HATA KIDOGO,,,,,,,, UKISEMA WATZ.MASKIN UNAKUWA UNAKOSEA ,SEMA MTZ MM MASKIN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...