shy-rose bhanji aliye vekesheni san diego, marekani, anatuma salamu za eid el fitr kwa wadau wote wa globu ya jamii. anasema anamalizia shopping na tutamuona bongo karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 77 mpaka sasa

  1. Kwa mtindo huu wa kujionyesha hivi, kila mtu Bongo atajaribu kuwa fisadi kwa nafasi yake.

    ReplyDelete
  2. Nashukuru kwa salamu sema kivazi chake hakifanani na SALAMU ZA SIKUKUU takatifu kama hii. Kiko kifuskafuska.

    ReplyDelete
  3. "Tutamuona bongo karibuni" So, what?

    ReplyDelete
  4. Safi sana Shy-Rose, umependeza kwenye mavazi yako! Usiyaache San Diego, uje nayo Bongo tukuone ukiwa umeyavaa kwa ukarinbu!

    ReplyDelete
  5. Ah! dada zangu punguzeni klimu,na inamadhara flani, yaani mpaka mtanzania utadhani mzungu flani!!ha, ha, ha, ama kweli uzuli unatafutwa.

    ReplyDelete
  6. marhaba mtoto wewe mguu guu,shavu dodo, unywele umetulia mh! kama ungewa huna mtu ningeshatuma application ya kuchukua jumla jumla.

    likizo njema,
    see you in Tanzania.

    ReplyDelete
  7. fisadi wa NMD huyo hamna lolote hapo.
    Mkosa kazi, ATL.

    ReplyDelete
  8. wewe mdau shyrose mimi ni kiserengeti boy niko washington, d.c sasa inakuwaje? maana ukija marekani bila kufika capitali inakuwa hainogi, wewe njoo hapa nikupe raha za mwisho mwisho jimama.
    Mdau South east d.c

    ReplyDelete
  9. Kaka Michuzi mbona hamtuambii sababu ya kwenda pekeyake yule mpenzi wake sijui "mwanamziki " walishaachana au? Mbona hamzungumzii sikuhizi.

    ReplyDelete
  10. Huyu nae kazidi utadhani hajawahi kukaa Ulaya , nakumbukakitu kama alienda kusoma UK kikozi cha miezi 9. ila bado ushamba unamsumbua, juzi namsikai demu wa clouds ana sema eti anaoneg ana Shyroz na anawapa hai yeye yuko Marekani dah , wewe mama una zidi sasa , a sisi situng epiga picha kama hizo , sijui ingekuaje ..Anyway vacation njema!

    ReplyDelete
  11. MIE SIKUJUA KAMA BADO HUYU DADA NI BONGE LA MSHAMBAA,SASA MAPICHA YOTE YA VACATION NDIO NINI....SHY ROSE ACHA USHAMBA BWANA....

    ReplyDelete
  12. mbona anashop uchochoroni, hana mshiko wa au?

    ReplyDelete
  13. Mmmmmhhhhhhh, yangu macho.

    ReplyDelete
  14. safi sana dada banji hakika unameremeta kijana jaffarah alikuwa anakushushia P yako bora ulivyommwaga ..tunakutakia vekesheni njema

    ReplyDelete
  15. Nilidhani ni Latoya Jackson!

    ReplyDelete
  16. Bora dada yangu umeamua kwenda shopping. Kah, Bongo panachosha. Hakuna proper shopping malls. Ni Mlimani City tu asubuhi, mchana na jioni. Hata hapo maduka yenyewe feki kabisa. Tuletee zawadi basi.

    ReplyDelete
  17. UNATAFUTA MWANAUME NINI MAREKANI HAPA? UNATUWEKEA PICHA ZAKO HIZO ZA MITEGO. WAKATI NDIO KWANZA TUMEMALIZA MWEZI MTUKUFU. FANYA SHUHULI ZAKO MALIZA ONDOKA, HUNA HAJA YA KUTANGAZIA DUNIA KAMA UPO MAREKANI.

    ReplyDelete
  18. Mamaa najua unazawadi nyingi vikiwepo viatu na mikoba ila nakukumbushia, chukua kabisa number ya Kamanda Kova ili wakikuibia JNIA-julius Nyerere International Airport ulipoti haraka ili upate vitu siku hiyo, Tahadhari mapema kabla ya ajali.

    From mdau mwenye uchungu
    na wezi wa
    Usalama wa taifa

    ReplyDelete
  19. Wacha kunitega...

    ReplyDelete
  20. bibie, hongera kwa kuitangaza Bongo karibu na kwetu(UK) uitangaze Tanzania, umependa sana dada.

    ReplyDelete
  21. hallow kaka michuzi, mimi naitwa mr ngamanya kwanza naomba nikupongeze kwa kujitahidi kutupa habari kupitia hii brog yako lakini kuna baadhi ya mambo yananishangaza sasa unapokuwa unatutumia picha za mtu binafsi kuwa VEKESHENI kama unavyosema inasaidia nini? maana mimi nilitegemea kuwa naona mambo ambayo yangekuwa na manufaa kwetu sisi watanzania lakini hii kila siku mara fulani yuko wapi mara vekesheni sidhani kama itatusaidia kuelimishana, plz naomba kuwakilisha,mdau NGAMANYA

    ReplyDelete
  22. Kula raha bint
    Life is good, wild and sweet!

    ReplyDelete
  23. Shyrose u r beautiful, assets zinalipa no reason to hide them! U rock, wala usijali waosha vinywa wao wangekua wazuri kama wewe sijui kama tungekohoa, wakomeshee, U R Very PRETTY! swallow it haters!!!
    Buibui

    ReplyDelete
  24. YA`LL HATERS!

    ReplyDelete
  25. WATANZANIA HEBU ACHENI WIVU NA NYINYI SI MTUME PICHA ZENU MNAFANYA SHOPPING MANZESE, MAISHA NI KUCHAGUA...NDIO KACHAGUA MAISHA HAYO JAMANI

    ReplyDelete
  26. shyyyy! Tafuta mshauri, manake unavurugaga! ujie unapendezea kuwa m2 fulani hivi mwenye hadhi... lakini hufanani na vi2ko vyako. shopping yako ya nini sasa sisi?

    ReplyDelete
  27. shyy! Acha kuimalizia P ndogo uliyobakiza! unajua ulitakiwa uwe na status fulani lakini what u always try to do holds u back. tafuta mshauri mpenzi.

    ReplyDelete
  28. wote wamekutana wanapenda sifa jafarai sifa kibao for nothing, na shy rose nae ndo km hivyo...... washamba utawajua tu...

    ReplyDelete
  29. kuna anony kasema shyrose aache kujichubua,si kweli,shyrose ni mweupe,nadhani ni mchanganyika wa muafrica na muhindi au arab...

    ReplyDelete
  30. For those who know her-IS THE HAIR REAL????
    It looks like the same glasses in all the two pics posted.
    The dress looks more spring season, than summer!! I think in the US summer is nearly over???? MAYBE THE DRESS WAS ON SALE ONE OF THOSE OFF SEASON CLOTHES???
    Yeah!!! Nice showing body parts, but I think needs to kick the Gym a little firming up that skin is needed. Can we also have a pic that shows the upper body, without much covering?? THOSE THIGHS NEEDS FIRMING TOO.
    I THINK WE COULD USE WITH A CLOSE PHOTO.
    BOOTS IN SUMMER???? SERIOUSLY!!!????
    Tanzania, especially Dar is practically summer throughout the year, when are those boots going to be worn again, or are they disposable?? Joto la bongo ndani ya buti, vikivuliwa aliyepo karibu ----????
    Hizo buti its like unaletewa jaketi la leather Dar, and you are expected to wear it, and the only excuse you get to wear it is when little clouds cover the sky or it rains even if its for a few hours.
    Its funny how life is, while wengine hawataki hata majina yao yatokee kwenye media sources to be critised some just love it.
    Hey its a good idea to start a reality show where there is 24/7 viewing.

    ReplyDelete
  31. KWELI SASA NINAAMINI WABONGO WENGI BADO WASHAMBA TU. SHYROSE ANAPICHA NGAPI MPAKA AITOE ALIYOPIGA UGHAIBUNI?. KUNA SIKUKUU NGAPI ZIMEMKUTA BONGO NA HAJAWATAKIA WATU KHERI?. MICHUZI NAOMBA UKISIKIE KILIO CHA WENZAKO TUNAPATA TAABU NA MISENENE KAMA SHYROSE. MAANA KITENDO CHA AIBU KAFANYA YEYE AIBU NAJISIKIA MIMI.

    ReplyDelete
  32. SHOSTI UNA ROHO NGUMU KAMA YA PAKA....Siasa hola, netball mnafilisi na mwenzio sasa kujitangaza kwenye blog... kila la kheri... maisha ni mafupi dada jitanue uwezavyo.

    ReplyDelete
  33. Matari, New Albany, OhioSeptember 22, 2009

    Wallah kama kumuogopa yule Mzee wa NEC-CCM, ningejaribu bahati yangu.

    ReplyDelete
  34. kila cku najiuliza wabongo 2taendelea lini? kila ki2 sie 2naponda! huo sio ushamba ila ni ujinga.. big up shyrose wewe ni rolemodel wangu, wanaokuponda wote washamba..

    ReplyDelete
  35. kila siku najiuliza hivi wabongo 2taendelea lini? kila ki2 2nataka kuponda huu sio ushamba ila ni ujinga..hakuna sababu hata moja ya kumponda shy. mi nakufagilia sana shyrose wewe ni rolemodel wangu, ila nimegundua ki2 kimoja, wabongo wanaoishi ulaya na marekani ni washamba kuliko wanaoishi bongo

    ReplyDelete
  36. BIBIE RUDI BONGO TUKACHUKUE JIMBO, NDO KILICHOBAKI TUU.

    ReplyDelete
  37. Mwanamziki gani ambaye ni boyfriend wake? Jamani wabongo kwa udaku? huyu boyfriend wake alikuwa SISCO au sasa wameachana? na
    nakubaliana na baadhi ya maoni, ila UNYWELE ni FAKE, ni kweli dada zetu wamezidi na kujichubua angalau ni weupe ila WANAONGEZEA MKOROGO, wanaonekana kama wazungu. ila Shyrose ana asili ya UHINDI, na wahindi wote wana nywele ndefu ila kama kawaida siku hizi WANAONGEZEA NYWELE fake. HIZI NYWELE HAPO SIO ZAKE, KAONGEZEA.
    AHH.. lakini haijambo umependeza ila punguza dada.. wanavyokuita mshamba kwenye baadhi ya maoni hawajakosea, maana mbona ulaya tumefika wengi hakuna haja ya kujitangaza. lakini poa, VEKESHENI NJEMA. SEE YOU SOON.

    ReplyDelete
  38. ushamba umekuzidi,kila mtu anaeenda marekani au ulaya angekuwa anaweka picha yake pangekuwa hapatoshi basi...njoo huku kuna viserengeti wanaotaka wamama watu wazima km wewe mwenye above 46

    ReplyDelete
  39. Huyu dada kwa mbwembwe zake za kitoto ataisikia tu halmashauri kuu ya cmm klwenye bomba na hawakukosea kumtosa kuchukua nafasi jack mwambi na kumpatia salum londa

    ReplyDelete
  40. achimama pepe ake achimama pepe ake bila jafalai akeee....kulikoniiii

    ReplyDelete
  41. OMG! is it winter already in Southern Cali? why is she wearing those heavy winter boots?

    ReplyDelete
  42. nyinyi mnaojidai mnajua sana mambo ya weather ovyo tu ni kwa starehe zako tu nimeona watu kibao wanavaa buti hapa canada tena hao hao wazungu ambao nyinyi mmewakuta na mafasheni yao mmekuja huku mmnajidai mnajua kuliko wao nyinyi ndo washamba na wengine ati ooh ameenda maduka cheap kama vile wao wanaendaga kununua magucc bin vesache acheni hizo stress za maisha zinawasumbua mwenzenu kaja vekesheni mnakereka wengine hata kutoa mguu nje ya nchi hawajawahi linawachomaaa na wengine huku majuu maisha ni dhiki tuu mawivu yanawasumbua mtaishia kupiga mikazi mitatu miwili kama punda wa kijijini na maendeleo sifuri kula raha mama
    kimora lee bishoo yule anajiachia kwenye luninga
    kila siku sembuse kwenye blog ? tuma picha hadi ukiwa eapot tuma mama kwa raha zako watasema mchana na usiku watawanga raha jipe mwenyeweee
    mdau toronto

    ReplyDelete
  43. HATA KAMA MIMI NIKITOA PICHA YANGU KESHO KWENYE MICHUZI BLOG WAOSHA VINTWA WATAOSHA VINYWA VYAO VILE VILE KWA HIYO USIHOFU DADAA TATIZO HILI NA SISI TUTALIPATA VILE VILE NA MIMI NIKO MBIONI KUTUMA SALAMU ZANGU KWA PICHA.
    THANKS

    ReplyDelete
  44. Wabongo bwana porojo nyingi !Shyrose siyo mtu wa kujichubua watu wanaongea vitu hawajuhi...yeye ni half-cast kwao wote ni weupe kwanza yeye ndo mweusi kidogo ,mdogo wake ni mweupe sana and she was one of the beautiful girl alikuwa anatingisha Lake secondary pamoja na kwamba ile shule ilikuwa ina ma-queen ever in Tanzania in early 80-90 es. Halafu shyrose hana ushamba wowote nyie mnao mponda ni exposure tangu enzi hizo wakati watu wengi walikuwa hawajuhi kuvaa hata viatu... tusipende kuponda sana watu tusiowajua...
    Ila mambo ya kutumia media(Blog) kwa ajili ya kujitangaza kuwa nipo vocation somewhere kwa mtu kama shyrose ni kuji-telemsha kidogo!!!your really famous enough to do that...is just my views(Mshikaji wako -mtaa wa kongo Lake secondary 89! )
    MDAU WA CAPRI POINT.

    ReplyDelete
  45. kwa taarifa tu shyrose huwa anatoka na point 5 tu na siyo rangi zingine, ndiyo maana kamchagua Jaffarai coz rangi zao zinafanana. GUYS ambao si rangi kama yake will never even KISS HER SHOE!

    ReplyDelete
  46. Jamani mimi sikujua kuwa kuna wadau wa Lake Secondary Mwanza wengi sana humu ndani, Ebu tufanye reunion jamani mwakani!!!!!!!!!!
    Natafuta walimaliza Lake Secondary 1980 - 1985!

    ReplyDelete
  47. Shy-Rose anazimia only point 5 na siyo colour zingine...

    ReplyDelete
  48. Bibie, hebu tumwagie masnepu mengine wenye wivu wajimalize kabisaaa!

    ReplyDelete
  49. All these comments goes to prove that there`s jealousy towards shyrose b`coz she is beautiful, educated, fashionable & succssfull.
    Shy-Rose yu shouldnt let any of these get to yu, get a laugh out of it instead. B grateful that they keep yur name in their mouth, its good to know they`r thinking of yu. look at tha entire blog its just shyrose this, shyrose that!!!
    In the end just do waht yu think is tha best for yu, dont wait for anybody`s approval b`coz if you have sumthing flaunt it, if yu dnt nobody is gonna do that for yu. YU GO GAL STRUCK UR STUFF!!!
    Regards from LA

    ReplyDelete
  50. Wabongo kwa wivu tu? Acheni hizo wajameni

    ReplyDelete
  51. SIMPLE MINDS DISCUSS PEOPLE,
    ORDINARY MINDS DISCUSS IDEAS,
    BUT GREAT MINDS DISCUSS EVENTS...

    ReplyDelete
  52. shy-rose umeniuzi kweli kuto kwenda na mwenzio jafarai yaani hapo ndio ungewakomesha kabisa wanga wakubwa hao ooh nini mara mabuti mara nguo ya baridi mara maduka ya bei rahisi hapa bongo tunavaa ije kuwa huko cjui diego maradona sijui madona waende zao huko kesho weka nyingine na ulicho vaa kihotpant( kikaptura kifupiii) watajiju unajua wanawekwa watu maarufu sio kila mtu umeipata funga domo lako kubwa.

    ila kwa kutoa mkono wa eid umechemsha mara tulitegemea ungetia hijab kwa salam hizo

    ReplyDelete
  53. Next time ukija kama utahitaji wapambe wa kukusaidia kubeba mizigo utushtue. Ingependeza kama kungekuwa na mabouncer hivyo wamebeba vimfuko.

    ReplyDelete
  54. Shy-Rose showbiz suits you!

    ReplyDelete
  55. Rose,hv u ever considered opening your own blog? think about it, coz am sure it will be very interesting

    ReplyDelete
  56. SIMPLE MINDS DISCUSS PEOPLE,
    ORDINARY MINDS DISCUSS IDEAS,
    BUT GREAT MINDS DISCUSS EVENTS...

    WE Anonymous hapa hatu DISCUSS,tuna COMMENT kile kinachotundikwa na michuzi kwa raha zetu...U can't stop waosha vinywa,hiyo inamaana unataka kuuwa hii Blogu.Haya wasalimie na Great MINDS zako za kuunga unnga.

    ReplyDelete
  57. yeah yur right, but who said anything 'bout stopping anyone in tha first place?
    comment wahtever yu want, nobody's stopping yu, i have my own right to say wahtever i want too.
    By tha way have yu ever heard of quotes? cuhz aparently it shows how uneducated yu are. frm yur comments naht hard to tell that yu lack good education, proper up bringing, most deff swahili type, & yu knw waht, once swahili type, always swahili type. its too late for yu to change sweetie, might as well forgive & forget, cuhz its hard to argue wit fools.
    buht thanxx for tha convo.

    ReplyDelete
  58. Quotable Quotes for my haters:

    " My name must taste good cuz its always in somebody`s mouth"

    " If you had a life you would stop talking about mine"

    " Hated by many confronted by none"

    I dont give anyone a reason to hate me, they create their own little drama of pure jealousy"

    " Dont hate appreciate"

    And Last but no least:

    " ONLY GOD CAN JUDGE ME"

    -SHY-ROSE

    ReplyDelete
  59. Dah kazi ipo,huyo ndo anamwambia mwenzie kakosa elimu nzuri,si bora tu unge COMMENT kiswahili labda ungeeleweka.Wasio jua kujifanya wanajua,ndo GREAT MINDS hizo? haya wasalimie......

    ReplyDelete
  60. Watanzania tuna good sense of humor. Comments nyingine (tena zilizo nyingi) zinalenga kuchekesha. Kwa hiyo tujifunze ku-take easy. Ukisoma unacheka basi unaendelea.

    ReplyDelete
  61. Hey people, what's up? Jamani kutemebea ni kujifunza. Ona sasa hata slang naiweza.

    Picha nitaendelea kutuma na Jafarai niko naye. Mwenye wivu na ajinyonge.

    Shy-Rose

    ReplyDelete
  62. Shy Rose, I hear you lakini nimekushuhudia sana hata Dar. All I wanna know is:ni hiyo NMB tu ndo inakupa hela za kutanua or there is more to it. Tumeona nyumba yako-frnished with quality stuff, na much more. Could you be in some other business?
    Jamani waandishi wa habari bongo tunawajua walivyolipwa, wanavyolipwa na watakavyoendelea kulipwa hata PRO's tunawasoma so SINCE YOU ARE ON BLOG TELL US ABOUT YOUR MONEY AND YOUR LATEST DRIVE??? au umerithi mali???
    from leaf borrower.

    ReplyDelete
  63. yeah yur right, but who said anything 'bout stopping anyone in tha first place?
    comment wahtever yu want, nobody's stopping yu, i have my own right to say wahtever i want too.
    By tha way have yu ever heard of quotes? cuhz aparently it shows how uneducated yu are. frm yur comments naht hard to tell that yu lack good education, proper up bringing, most deff swahili type, & yu knw waht, once swahili type, always swahili type. its too late for yu to change sweetie, might as well forgive & forget, cuhz its hard to argue wit fools.
    buht thanxx for tha convo.

    KWENDA ZAAAKO NA KIINGELEZA CHAKO KICHAFU

    ReplyDelete
  64. yani kwa jinsi nilivyosoma hizo comments zoote nimegundua kwamba hao jamaa wote wanaoponda wana chuki binafsi au wivu wa maendeleo ambayo shyrose ameyapata. coz cjaona hata point ya msingi ya kumponda, eti ooh mara mshamba! mara nguo za rether. nyie mnaodiss ndio washamba. pigeni pigeni kelele mwenzenu anaendelea, mtaishia kupiga kelele na mwenzenu anaishi kwa furaha na nyie mnaishi kwa michuki tele...

    ReplyDelete
  65. hizi comments zingine zimekaa kama kuna watu wana hasira nae! labda kuna midume mingine ilimtongoza akayapiga vidochi sasa yameamua kumalizia hasira zao kwa kuponda! acheni hayo mambo ya kizamani... shost shyrose najua hunijui lkn mi nakujua, wasikubabaishe washamba

    ReplyDelete
  66. This is for Anonymous 12:33,03:24,3:28 & 3:40:

    First of all lets start off by sayin that there's three obvious thangs on all those comments, one there all frm tha same person, & two am sure he didn't go to schoo & he is jealous of me! ( fyi I knw yu already)ahah

    Its preetay funny how yu tryna IMITATE me by sighning mah name, buht tha difference in tha choice of words is preetay clear yu can only imitate buht NEVA duplicate !
    if yur man enough why dnt yu sighn YUR own name for once so that errbody can knw tha REAL yu & naht who yu tryna b.

    LOL, seems to me like yur jealous of jafarai err sumthang, why yu keep bringing him up ? why dnt yu take yur own advise & swallow it !
    cuhz mah relationship with jafarai doesn't concern yu !

    Also tha whole "Shy-Rose being in tha US" is old news now, dnt make urself look even more stupid, and cum up with sum betta cumbacks !
    :D
    Ohhhhh, and by tha way can we convers in english, im kinna down on kiswahili now.
    Thanxx yu (:

    "Sticks & stones can break mah bones, buht words can NEVA hurt me"

    -Tha Real, One & Only:
    SHY-ROSE !!

    ReplyDelete
  67. Kaka Michuzi, naomba hii topic yangu ikifika mwisho (bottom) mwa blog, basi irudishe juu kabisa ili niendelee nao hawa washamba. Au unasemaje? Kama haiwezekani, basi nikutumie picha nyingine ili ianze hapo juu.

    Shy-Rose (The genuine, the real....).

    Yoyoooooooh..Hey....Natamba kwenye anga zangu

    ReplyDelete
  68. mheshimiwa shyroze uko juu naona unaongoza kwa comments nyingi kwenye blog ya jamii kweli uko juu..

    ReplyDelete
  69. shyrose naomba ukae kimya usibishane na wajinga wasiokua na elimu.. mijitu mingine haina kazi za kufanya muda wote wanakaa kwenye comp kwa ajili ya kutafuta ki2 cha kubisha.. wakikosa kabisa ubishi wanazurula vijiweni au kwenye migahawa ya kahawa ya uswailini kutafuta ubishi! sasa watu kama hao ukibishana nao unajishusha wakati wewe hadhi yako ni kubwa sana

    ReplyDelete
  70. kuna mjomba mmoja ana2ma messege za kipashukuna kweli, mtu mzima anataka beef za kishamba. mjomba mpaka leo bado hujapata xploser pamoja na kuoa wake wa4 kuwatelekeza na kuwaacha wakihangaika bado 2 unaendelea na ushamba wako!!! pole sana... wenzako wanasonga mbele we utishia hivyo hivyo

    ReplyDelete
  71. wabongo tunapenda kuona watu wakiishi maisha ya tabu! 2kiona mtu anakula raha kidogo tu maneno yanaanza.. kula raha sister umejaaliwa na mungu

    ReplyDelete
  72. Wewe uliejiita shy rose(the real one and only), kama wewe ni Shy Rose wa kweli you are embarassing yourself, are you serious girl!! how can you write that stupid shit, I mean are you trying to tell me that you write and talk Ebonics now, this is disgusting, oh by the way if you really want to converse in English like you say stop that TV Enlish you are writting, I mean are you for real? if you wanna stick to the slang atleast get it right and all, what you used there my friend is not ebonics/english, it's not even slang, not arabic God know what the hell you were typing, trying to be black American and all when you can't even get their grammar correct, how pathetic is that, you displayed your pictures for the public eye to see so what's the big deal when peole give out their opinion, isn't this what you wanted "attention", please, deal with it!- Christina

    ReplyDelete
  73. This is for you Shy Rose(the real one and only) I didn't know how ignorant you are until i read your comment, unaandika slang ya Afro Americans halafu na yenyewe unakosea, hata kama unataka kuandika kizungu cha mitaani kijue vizuri basi jinsi ya kukiandika, acha mambo ya kuiga iga wakati bado uswahili haujaisha kwenye damu, stick to the real English grammar labda itakusaidia, kama mdau hapo juu alivyosema kiingereza cha kwenye TV hukiwezi tuachie wenzio, yaani ni kama nilikuwa nasoma kizaramo kilichochanganyika na kihindi, duh kazi unayo!

    ReplyDelete
  74. huyo aliyejifanya kuandika kuwa ndiye shyrose wala sie mwenyewe kabisaa ni mdau tu ambae naye umaimuna unamsumbua kutaka mwenzeke aonekane yai sifuri wakati watu tunaomjua yai linapanda kisawasawa yani kuna mingoromiko humu ndani inapenda sana kuwazushia wenzao balaa mungu awapige radi

    ReplyDelete
  75. anko christina + anko nanihiii=??????????

    ReplyDelete
  76. Tarehe Thu Sep 24, 03:40:00 PM, Mtoa Maoni: Anonymous

    Shy Rose, I hear you lakini nimekushuhudia sana hata Dar. All I wanna know is:ni hiyo NMB tu ndo inakupa hela za kutanua or there is more to it. Tumeona nyumba yako-frnished with quality stuff, na much more. Could you be in some other business?
    Jamani waandishi wa habari bongo tunawajua walivyolipwa, wanavyolipwa na watakavyoendelea kulipwa hata PRO's tunawasoma so SINCE YOU ARE ON BLOG TELL US ABOUT YOUR MONEY AND YOUR LATEST DRIVE??? au umerithi mali???
    from leaf borrower.





    MMmmmh!Jamani!This is way off!Mbona inakuwa personal tena?Imekuwaje?Simjui huyu dada ila hii imezidi sasa...kama mnadaiana ama kuna mengine kati yenu...mtafute kwa wakati wake...mpeane hayo majibu...ya nini kuyaleta kwenye kadamnasi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...