Waziri Wa Habari ,Utamaduni na Michezo mhe. George Mkuchika akitetajambo kwa karibu na Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli Tanzania Bi Anna Bayi kwenyekikao baina yake na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Netiboli katika kambi yao iliyopo ndani ya Shule ya Filbert Bayi, Kibaha, Mkoani Pwani ikijiandaa na michuano ya kimataifa itayofanyika jijini Dar karibuni.
Picha na Anna Itenda - MAELEZO
Hii imeekaaje mazee!!!kambi imo ndani ya shule ya F.Bayi na mwenyekiti ni Bi. Bayi?????Naona hapa kuna kaharufu ka KIJIFISADI!!!au ni aje mazee???
ReplyDeletevp dada yetu karudishwa??
ReplyDelete