Waziri Wa Habari ,Utamaduni na Michezo mhe. George Mkuchika akitetajambo kwa karibu na Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli Tanzania Bi Anna Bayi kwenyekikao baina yake na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Netiboli katika kambi yao iliyopo ndani ya Shule ya Filbert Bayi, Kibaha, Mkoani Pwani ikijiandaa na michuano ya kimataifa itayofanyika jijini Dar karibuni.
Picha na Anna Itenda - MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hii imeekaaje mazee!!!kambi imo ndani ya shule ya F.Bayi na mwenyekiti ni Bi. Bayi?????Naona hapa kuna kaharufu ka KIJIFISADI!!!au ni aje mazee???

    ReplyDelete
  2. vp dada yetu karudishwa??

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...