Afisa Uhusiano na Msemaji mpya wa Ubalozi wa Marekani nchini Dk. Ilya D. Levin akizungumza na Amos Malongo (Kushoto) na Mlongetcha Mkuku, ambao ni wanachama wa Chama cha Watanzania waliosoma Marekani wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha nchini iliyofanyika usiku wa kuamkia leo jijini Dar. Dk. Levin anachukua nafasi ya Jeffery A. Salaiz aliyehamishiwa Abuja, Nigeria. (Picha kwa hisani ya Ubalozi wa Marekani)

Ndugu Michuzi, sikujua kwamba kuna chama cha waliosoma Marekani, naweza kupata link yao? Nilisoma huko, bali nilikuwa nawasiliana na alumni tu wa pale chuoni niliposoma. Sikujua kwamba wa TZ wana chama hicho. FirePower, UK
ReplyDeleteHamna chama cha waliosoma Marekani, nijuavyo, unless waniambie kimeanza mwaka huu. Watu bwana, chama cha waliosoma Marekani ili iweje? Mmeanza mambo ya wadau wa UK? Mara UK utasikia wanawaingiza wanachama wapya wa CCM nk...
ReplyDelete