Afisa Uhusiano na Msemaji mpya wa Ubalozi wa Marekani nchini Dk. Ilya D. Levin akizungumza na Amos Malongo (Kushoto) na Mlongetcha Mkuku, ambao ni wanachama wa Chama cha Watanzania waliosoma Marekani wakati wa hafla fupi ya kumkaribisha nchini iliyofanyika usiku wa kuamkia leo jijini Dar. Dk. Levin anachukua nafasi ya Jeffery A. Salaiz aliyehamishiwa Abuja, Nigeria. (Picha kwa hisani ya Ubalozi wa Marekani)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ndugu Michuzi, sikujua kwamba kuna chama cha waliosoma Marekani, naweza kupata link yao? Nilisoma huko, bali nilikuwa nawasiliana na alumni tu wa pale chuoni niliposoma. Sikujua kwamba wa TZ wana chama hicho. FirePower, UK

    ReplyDelete
  2. Hamna chama cha waliosoma Marekani, nijuavyo, unless waniambie kimeanza mwaka huu. Watu bwana, chama cha waliosoma Marekani ili iweje? Mmeanza mambo ya wadau wa UK? Mara UK utasikia wanawaingiza wanachama wapya wa CCM nk...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...