Mgeni rasmi Pro Silvia Tamale akikata utepe kuashiria uzinduzi wa maonesho ya tamasha la jinsia 2009,ambpo kwa asilimia kubwa bidhaa mbalimbali za Kitanzania ziliozokuwepo kwenye maonesho hayo zimetengenezwa kwa mikono.
Mkurugenzi wa TGNP Bi Usu Malya akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye tamasha hilo,mara baada ya kuzinduliwa rasmi na mwenyekiti wa taasisi hiyo ya TGNP,Bi Ruth Meena(haonekani pichani),tatu kulia ni mgeni rasmi wa tamasha hilo kutoka chuo kikuu cha makerere Uganda ,Prof.Silvia Tamale
mgeni rasmi wa tamasha hilo kutoka chuo kikuu cha makerere Uganda ,Prof.Silvia Tamale akiongea wakati wa uzinduzi wa tamasha


Huyo unaemwita bi Ruth Meena ni Professor, uwe unauliza kabla ya kuchafua mazingira!!
ReplyDeleteNawakilisha
Huyo mdada wa kushoto kabisa picha ya mwisho (chini) ni kama vile mke wa Bob Sankofa (wa Fotobaraza) au macho yangu?
ReplyDeletewe anony Tue Sep 08, 06:20:00 PM, kwani bi ni tusi? ndio nyie-nyie mliosoma bila kuelimika.
ReplyDeletetamasha la jinsia ni nini? na linahusu nini?
ReplyDeletejinsia the same meaning kama kiingereza au ....naomba tuelimishane zaidi please
off topic kweli hata mimi sioni ubaya wa mtu kuitwa Ms.