Fundi Ramadhani

FUNDIWAKOMBO YATIMIZA
“MWAKA MMOJA”
NAPENDA KUTOA SHUKURANI ZANGU ZA DHATI KUPITIA GLOBU HII YA JAMII KWA WADAU WOTE POPOTE MLIPO KWA KUWA PAMOJA BEGA KWA BEGA KATIKA KUENDELEZA LIBENEKE. TUZIDI KUWA PAMOJA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Unajua picha kama hizi za PP mara nyingi huwa ni obituary, yaani nimeshituka sana nikaanza kusema nani tena huyu katutoka?. Aaa mungu apishie mbali ila next time weka picha nzima au usiweke kabisa weka link tu maana watu tuliisha anza kukufiria ndivyo sivyo

    ReplyDelete
  2. keep it up mr kombo

    ReplyDelete
  3. yanI mdau wa kwanza hapo juu uko sahihi na mie pia nilikuwa mh nani tena huyu ??? huh!

    ReplyDelete
  4. brother fundi hii umenisitua sana nilijua umetutoka kaka tafadhari sana badilisha huu ujumbe. noma kaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...