Waziri Mkuu mH. Mizengo Pinda (shoto) kisalimina na Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Korea, Han Seung Soo kablaa yamazungumzo yao kwenye Ofisi ya mwenyeji wake jijini Seoul Korea leo hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hapo wanaongea lugha moja,ukomonisti mtupu!naamini baada ya hapo misaada kibao tutapata wabongo.Hawa jamaa sio wachoyo kwa wakomonisti wenzao

    ReplyDelete
  2. Nakufagilia MH Pinda mtoto wa mkulima halisi wa Tanzania kula maisha mkubwa

    mdau Kilimo kwanza Mpanda

    ReplyDelete
  3. Seoul ipo South Korea nenda shule wewe.

    ReplyDelete
  4. Kumbe Pinda anajua kutabasamu, safi sana!

    ReplyDelete
  5. anony wa tatu usipate tabu na anony wa kwanza.
    ni matokeo ya kukurupuka,elimu ya kukariri na ufinyu wa general knowledge.

    ReplyDelete
  6. HAWA JAMAA WAKO FITI SANA KWA MAMBO YA KIUFUNDI WANGETUPATIA HATA KAKIWANDA CHA KUTENGEZA SAA ZA DISCO TUTOKE KIDOGO.

    ReplyDelete
  7. Mhe. waziri mkuu hana mpango wa kuongea na watanzania waishio hapa korea?? Naona viongozi wa TALIKO (Chama cha watz waishio korea) wamefanya kila njia lakini......au huenda hawajui kuwa kuna watz wanaoishi hapa..!!
    Mdau South Korea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...