mzee chifupa, aliyekuwa baba mkwe wa marehemu medi mpakanjia, akidaka taswira wakati wa shuguli za mazishi za mkwewe leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema pepon amen.Lakini baba mkwe alitakiwa atulie mbona vijana wa kumfanyia kazi wapo?

    ReplyDelete
  2. mzee nuksi huyu anapiga mahesabu namna atakavyochukua kila kitu cha Mpakanjia kwa kisingizio cha kulea mjukuu,msimpe huyo mtoto atamwaribu kama alivyomwaribu AMINA

    ReplyDelete
  3. mzee hujatulia.

    ReplyDelete
  4. mzee Chifupa mbona kashupaa na camera. naona anataka ku-make sure kuwa haya mambo yametokea kweli na wala si ndoto.

    ReplyDelete
  5. NINAMSIKIA TU MPAKANJIA, HIVI ALIKUWA ANAFANYA BIASHARA GANI? NA ALIKUWA AKILIPA KODI SITAHILI? (HILI SWALI LA PILI TRA WALIJIBU) TANZANIA INAWATU WENGI SANA MAARUFU NA MATAJIRI LAKINI HAWALIPI KODI SITAHILI SERIKALINI LICHA YA KUJIFANYA WANAWASAIDIA AU WANAWAFADHILI WENGINE!

    ReplyDelete
  6. Medi amefariki siku chache baada ya kufunga ndoa na Bi Zaituni Kessy pale Magomeni, amecha watoto 4 na mjane...RIP Medi Kitendawili.
    Ni kama tamthilia lkn ni kweli imetokea..

    ReplyDelete
  7. duniani ss ni wapita njia tu...these people were once alive mingling together..but today they are not with us...it is almost always like this..please get prepared because u do not know the day and/or time...RIP both of u and all others walio mbele ya haki...

    ReplyDelete
  8. kama kweli alifunga ndoa na huyo bi zaituni mh bidada utakuwa na gundu lo lo lo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...