
wana madrasa wa bukoba mjini wakiimba qsda kwa watoto yatima wa Bukoba Mjini wakati wa hafla ya futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo hivi wikiendi hii.

Mmoja wa wafanyakazi wa Vodacom mjini Bukoba akisaidia kugawa futari kwa baadhi ya watoto yatima wa Bukoba Mjini iliyotolewa na Vodacom Foundation mjini humo hivi karibuni. Katika hafla hiyo kitengo hicho cha misaada cha Vodacom kilikabidhi pia aina nyingine za misaada ya kibinadamu kwa watoto hao.

Baadhi ya watoto yatima wa mjini Bukoba, wakila futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo hivi karibuni. Katika hafla hiyo Vodacom pia ilikabidhi misaada mingine ya kibinadamu kwa watoto hao.


Baadhi ya watoto yatima wa Bukoba Mjini wakila futari iliyoandaliwa na Vodacom Foundation mjini humo hivi karibuni. Katika hafla hiyo kitengo hicho cha misaada cha Vodacom kilikabidhi pia aina nyingine za misaada ya kibinadamu kwa watoto hao.
Mwezi mtukufu unaondoka na matukufu yake, wale waliofunga kwa ajili ya mwezi sasa watafungulia na wale waliofunga kwa ajili ya kumtii mwenyezimungu wataendelea kufunga.
ReplyDeleteInasikitisha kwani inakuwa kama mtu aliyefua shati lake likawa safi na siku ya siku anaamua kugalagala kwenye matope.
http://miram3.blogspot.com/2009/09/mgeni-mtukufu-anaondoka.html
Tumshukuru mwenyezi kutufikisha hapa tulipo na kuliona kumi hili la mwisho na tumuombe atuwezeshe kuiona Idd, kwa imani thabiti.
Sikatai kuwafuturisha sio vibaya , lakini vodacom watoto hao wanahitaji zaidi ya kula , ukimpa mtu samaki akila amesahau na ataendelea kukutegemea lakini ukimfundisha namna ya kuvua samaki mwenyewe tajitegemea, watoto yatima wanahitaji zaidi ya mlo , mipango yenu iwe kuwapa hao watoto msingi wamaisha mambapo hata baadaye wakiwa watu wazima waweze kusema nimefika hapa nilipo ka nguvu za mungu na mchango mkubwa kutoka VODACOM,
ReplyDelete