Kaka Michuzi,
pole na majukumu ya kuwahabarisha wanajamii.Naomba wadau wasishangae kwani hiyo ni nyumba ya mtu hapahapa jijini Dar Es salaam,ipo wilaya ya Kinondoni, Kata ya Bunju, eneo la Kinondo.Mkuu wa wilaya ya nanihii naomba kuwakilisha.Picha inawezekana si nzuri sana kwa sababu ni camera ya simu ya mkononi.
Best Regards
Mdau Clement Bocco

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Ha,ha,ha kwa mjengo huo !! kumbe bongo sawa na London.

    ReplyDelete
  2. Hiyo ikiserereka wakati uko usingizini au una-make love ni hatari sana, ati.

    ReplyDelete
  3. NI MBUNIFU! ALIUPATA WAPI HUO MKWECHE?

    ReplyDelete
  4. British Leyland(Leyland CD).Hii inanikumbusha miaka ile mabasi ya Relwe.Wanafunzi tunasafiri kwa warrant toka Mwanza mpaka Mtwara.Duh,what are golden memories!

    Mkulima-kijijini Gezaulole

    ReplyDelete
  5. Leyland hii imenipeleka mbali sana. Top gear inabidi tandibiy aishikilie isichopoke..
    Otherwise first class picture
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  6. aisee hiyo picha bomba sana. ina ujumbe muhimu, nafikiri ungeiuza online utapata michuzi mshkaji.
    Hiyo ndio Afrika yetu, hakuna presha wala shinikizo la moyo, unaishi popote kwa raha zako. mtu asikudanganye bwana system ya maisha ulaya ni presha ugonjwa wa moyo

    ReplyDelete
  7. Ah Michuzi umeniharibia tayari.

    Kwa picha hii sasa vibaka ndiyo watakuja kunitembelea

    ReplyDelete
  8. Ni ubunifu mkubwa kwa kuwa leo unaweza kuamua kuishi upanga, kesho mikocheni, magomeni n.k. na kote unaishi ktk nyumba yako!!!!

    ReplyDelete
  9. mbona poa tu hiyo.Huku mbona zipo mibile homes kibao...Tofauti ya huyo ni uchafu. Akanunue kopo la rangi apage gari lake its not tha hard. Rangi itaondoa that rust looking.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...